S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,848 Reaction score 1,410 Sep 14, 2011 #1 Unakumbuka ukiwa mtoto ukiangalia movie kali basi ukitoka hapo unataka na wewe kujida Rambo...Van Damme...Solo... hapa dogo huenda anajidai Rambo anakimbia (slow) kabla bomu halijalipuka... hapo anasema iyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe ukiwa mtoto ulikuwa unapendaga movie gani??
Unakumbuka ukiwa mtoto ukiangalia movie kali basi ukitoka hapo unataka na wewe kujida Rambo...Van Damme...Solo... hapa dogo huenda anajidai Rambo anakimbia (slow) kabla bomu halijalipuka... hapo anasema iyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe ukiwa mtoto ulikuwa unapendaga movie gani??
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,848 Reaction score 1,410 Sep 14, 2011 Thread starter #2 mimi nilikuwa napenda movie ya Chuck Norris ya "Miss In Action"