CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
tusker refresh your roots;kwan watu wana mizizi
subiri nikumbuke.............
Kuna dogo mmoja alikutana na mama mjamzito hapa kitaani na mazungumzo yao yakawa hivi:- DOGO: we mama sikamoo. MAMA: barahaba mtoto mzuri haujambo?. DOGO; sijambo..,mbona tumbo lako kubwa?. MAMA; ahaa, humu kuna mtoto mzuuri kama wewe. DOGO: sasa mbona umemmeza!?