dogo na ticha class

dogo na ticha class

mbatia mnzava

Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
27
Reaction score
3
sikumoja ticha alikua anafundisha kuhusu mbuga za wanyama clas.akawauliza wanafunzi wangapi wangependa kutembelea mbuga za wanyama?wanafunzi wakanyosha vidole isipokua dogo mmoja ticha akamuuliza yule dogo vipi mbona ww hujanyoosha kidole.dogo akamwambia mim mama aliniambia nikitoka shule nikaoshe vyombo nisipitie mahali popote.dogo alimaanisha kwamba wanaenda mbugani ule mda!!
 
Watoto mara nying ni watiifu sana hasa kwa miongozo ya wazaz, je mmesahau enz zile za kuimba kitu ulchotumwa dukan nduki nene ili usisahau?
 
sukari kilo 1 na chenji irudi hahahaa!!!
Watoto mara nying ni watiifu sana hasa kwa miongozo ya wazaz, je mmesahau enz zile za kuimba kitu ulchotumwa dukan nduki nene ili usisahau?
 
huyo lazima awe std 1 au 2 coz akifika class za juu utiifu anauhamishia kwa walim zaidi kuliko wazazi
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimeipenda sana hii hahaaaaaaaaaaa u made ma day
 
Back
Top Bottom