Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,266
Hii sijui kama ilisha wekwa humu lakini mtu kanitumia:
Siku moja Dogo alikuwa ameakaa na dingi yake ghafla akatembelewa na demu wake na mambo yakawa hivi:
DOGO: Karibu sana, umefuata kile kitabu chako cha SPEAK ENGLISH MY FATHER CAN NOT UNDERSTAND?
DEMU: Hapana nataka kile cha WHERE CAN WE MEET?
DOGO: Hicho sina labda nikupe kile cha WE CAN MEET UNDER THE MANGO TREE
DEMU: Hicho sihitaji, nipe kile cha I GIVE YOU FIVE MINUTES
DEMU: Usihau na kile cha I LOVE YOU!
BABA: Huyu mtoto anataka vitabu vingi sana, atasoma avimalize vyote kweli?
DOGO: Huyu ana akili sana ndio anaongoza darasani atavisoma vyote
BABA: Basi mpe na klie cha I HAVE UNDERSTOOD ALL THE STUPID THINGS YOU WERE TALKING ABOUT!