Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 359 Mar 3, 2009 #1 JF kama kuna mtu ana wimbo huu wa dogo Mfaume naomba jamani. Kijana ameimba katika mahadhi yalibadilishwa na kuwa ya kisasa....
JF kama kuna mtu ana wimbo huu wa dogo Mfaume naomba jamani. Kijana ameimba katika mahadhi yalibadilishwa na kuwa ya kisasa....
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Mar 3, 2009 #2 This should be posted in requested thread
Mtimti JF-Expert Member Joined Feb 23, 2008 Posts 942 Reaction score 649 Mar 3, 2009 #3 Buswelu said: JF kama kuna mtu ana wimbo huu wa dogo Mfaume naomba jamani. Kijana ameimba katika mahadhi yalibadilishwa na kuwa ya kisasa.... Click to expand... mi nnao,nikutumie kwa njia gani?
Buswelu said: JF kama kuna mtu ana wimbo huu wa dogo Mfaume naomba jamani. Kijana ameimba katika mahadhi yalibadilishwa na kuwa ya kisasa.... Click to expand... mi nnao,nikutumie kwa njia gani?
Maxence Melo JF Founder JF Staff Joined Feb 10, 2006 Posts 4,542 Reaction score 16,818 Mar 3, 2009 #4 Buswelu said: JF kama kuna mtu ana wimbo huu wa dogo Mfaume naomba jamani. Kijana ameimba katika mahadhi yalibadilishwa na kuwa ya kisasa.... Click to expand... Nipe dakika 5 itakuwa kwenye playlist ya BongoFlava
Buswelu said: JF kama kuna mtu ana wimbo huu wa dogo Mfaume naomba jamani. Kijana ameimba katika mahadhi yalibadilishwa na kuwa ya kisasa.... Click to expand... Nipe dakika 5 itakuwa kwenye playlist ya BongoFlava
Maxence Melo JF Founder JF Staff Joined Feb 10, 2006 Posts 4,542 Reaction score 16,818 Mar 3, 2009 #5 Buswelu said: JF kama kuna mtu ana wimbo huu wa dogo Mfaume naomba jamani. Kijana ameimba katika mahadhi yalibadilishwa na kuwa ya kisasa.... Click to expand... Ukifungua link ya Bongo Flava ipo tayari. Badae tutaongeza nyimbo mpya kama 30 hivi
Buswelu said: JF kama kuna mtu ana wimbo huu wa dogo Mfaume naomba jamani. Kijana ameimba katika mahadhi yalibadilishwa na kuwa ya kisasa.... Click to expand... Ukifungua link ya Bongo Flava ipo tayari. Badae tutaongeza nyimbo mpya kama 30 hivi
M Mama JF-Expert Member Joined Mar 24, 2008 Posts 2,848 Reaction score 66 Mar 3, 2009 #6 Maxence Melo said: Ukifungua link ya Bongo Flava ipo tayari. Badae tutaongeza nyimbo mpya kama 30 hivi Click to expand... Bila kusahau wimbo wa MTOTO IDD wa Juma Nature tafadhali, kama utakuwa nao.
Maxence Melo said: Ukifungua link ya Bongo Flava ipo tayari. Badae tutaongeza nyimbo mpya kama 30 hivi Click to expand... Bila kusahau wimbo wa MTOTO IDD wa Juma Nature tafadhali, kama utakuwa nao.
Maxence Melo JF Founder JF Staff Joined Feb 10, 2006 Posts 4,542 Reaction score 16,818 Mar 3, 2009 #7 Mama said: Bila kusahau wimbo wa MTOTO IDD wa Juma Nature tafadhali, kama utakuwa nao. Click to expand... For You I will Mama. Thanks
Mama said: Bila kusahau wimbo wa MTOTO IDD wa Juma Nature tafadhali, kama utakuwa nao. Click to expand... For You I will Mama. Thanks
Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 359 Mar 3, 2009 Thread starter #8 mtimti said: mi nnao,nikutumie kwa njia gani? Click to expand... Nimeshaupata...mkuu kutoka kwa Melo. Thx Buswelu
mtimti said: mi nnao,nikutumie kwa njia gani? Click to expand... Nimeshaupata...mkuu kutoka kwa Melo. Thx Buswelu
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Mar 3, 2009 #9 Maxence Melo said: Ukifungua link ya Bongo Flava ipo tayari. Badae tutaongeza nyimbo mpya kama 30 hivi Click to expand... Nawezaje kuzidaunilodi nyimbo?
Maxence Melo said: Ukifungua link ya Bongo Flava ipo tayari. Badae tutaongeza nyimbo mpya kama 30 hivi Click to expand... Nawezaje kuzidaunilodi nyimbo?
Kuntakinte JF-Expert Member Joined May 26, 2007 Posts 701 Reaction score 37 Mar 3, 2009 #10 [ame=http://www.youtube.com/watch?v=ZSb5iegnONQ]YouTube - Dogo Mfaume - Kazi ya dukani, east african music 2008 - 2009[/ame]
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=ZSb5iegnONQ]YouTube - Dogo Mfaume - Kazi ya dukani, east african music 2008 - 2009[/ame]