Dogo Kimewaka!

Ndio nini manaake?
Wapi huku tena?..Sudan Kusini?
 
keshokutwa wanapata uhuru wao hao!
 
Alafu ana buti za nguvu.
 
Ana hasira na Wababiloni; Huyu atakuwa mjukuu wa Bobu!..teh teh, "wota kyant putaut ja fya" Bum bum bum!
 
Aliahidiwa maisha bora lakini kumbe ni changa la macho sasa ....
 
Dogo ni kiboko, nani kasema nini
 
Hii mutu inatoka bongo papaa mwaisapile aka mchungaji mstaafu
 
idi amin alianza hivihivi msishangae
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…