Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Huyu dogo inabidi atoe maelezo kwanini hii helcopter katengeneza for chadema.
Angeweka rangi ya CCM wangempa promo kweli.Alivyo iwekea marangi rangi ya bendera ya CHADEMA imepoteza mvuto!!
mkuu, umecompare creativity yake na Rangi za chama(pia inaweza kuwa coincidence) umeona Rangi ndiyo habari, Mimi nilichokiona ni kafanya jambo kubwa ukilinganisha na umli wake, inawezekana ana vitu vya ziada alitamani aviongezee kwenye huo mfano wa chopa yake, lakini kutokana na mazingira kajikuta kaishia hapo, na akiendelea tu kakianza kutoa ile sauti ya kuunguruma mamlaka ya anga watampiga stop kabla haijapaa... watasema kanaatalisha maisha.
Umetisha sana, ukiendelea na jitihada zako nitajufunza mengi kwa kweli.Umli=umri
atalisha=hatarisha.
Kwani alitengeneza ili iwavutie Lumumba?Alivyo iwekea marangi rangi ya bendera ya CHADEMA imepoteza mvuto!!
Wanaomuuliza wamweleze dogo kwa nini hiyo helcopter hakutakiwa huitengeneza for CHADEMA?![]()
Huyu dogo inabidi atoe maelezo kwanini hii helcopter katengeneza for chadema.
Huyo Dogo kama angekuwa amezaliwa nchi za wenye akili zao saa hizi angekuwa anagombaniwa kusomeshwa,ila kwa kuwa amezaliwa kwenye migomba ndio basi tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena anaweza kutafutwa mwalimu wake ili aisaidie polisi kujua ni wapi mtoto alikopata hilo wazo la kuitengeza helcopter ya CHADEMA. Mwalimu anaweza kushitakiwa kwa kosa la uchochezi na kujenga chuki kwa mtoto dhidi ya serikali tukufu ya Johnwalker Pombe Mbaya.
Angeimba wimbo wa kukisifia Chui, Chatu na Mafisi wangemsaidia hadi kurekodi single.