Hii ni avatar ya mtu hapa JF,jina la id yake limenitoka.Yani huyu sijui anastahili adhabu gani
Dogo mwehu sana halafu inaonekana anajua anachokifanya! Yaani ni kama anamringishia mtu hivi huku akiwa yupo kwenye mkao wa kutoka nduki punde anayemringishia akianza kumfuata!