Huwezi kumpiga huyo dogo! Mwangalie anafuata instructions toka kushoto, which means aliambiwa kojoa hapo na (mtu mkubwa bila shaka). Kisha mbele yupo mwingine anapiga picha! Nadhani hapo wakula kichapo ni mpiga picha na mtoa maelekezo kwa kuwa hao bila shaka ni grown ups