Dogo ala kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudakwa akimrekodi shangazi yake video akiwa bafuni!

Lakini kwenye hii video sikuona fimbo ina mpata kijana , nasikia sauti na kijana analia - labda hii ni acting. Lakini pia ikiwa huyu kijana kweli kamrokodi shangazi yake basi anastahili kipigo zaidi ya hichi. Ni aibu vipi ikiwa video ya Shangazi yake yuko uchi itazagaa kila pahali. Huku ndio kulea sio unamuacha mtoto anapotokewa .

Mkuu sema wewe, watu wanajifanya hapa eti ohoo jamaa katili sana!! Kuna ukatili gani hapo, mi mwenyewe nimesema kama ingekuwa ni mimi dogo kama huyu anayerekodi shangazi yake akiwa mtupu angechezea kichapo kikali kuliko hiki. Hapo hamna kipigo wala nini sana sana makelele tu.
 
Inamaana we ulipochek huo mzigo machozi haya kukulenga lenga..? em be honest.., maana mi sikuelewi kabisa..
 
Machozi yanilenge lenge kwa sababu ipi hasa??!! Wewe dogo analeta uhuni wa kumrekodi shangazi yake akiwa mtupu halafu kuguswa guswa kidogo kama vile unaona ni ishu sana???!! Kwanza kinachokufanya uone kama anapigwa sana ni makelele tu, vinginevyo hamna kikubwa hapo!!!

Kuna watu humu wanaweza kuona sawa kabisa kuchoma vibaka, ila ishu kama hizi wanaona kama kuuuuubwa!!!!!!
 
Haya.., no comments..
 
anyway.., watoto wako kazi wanayo..
 
Acha use...ukitaka apewe pipi au...Leo na kesho waikuta video iko kweny mitandao ...safi sana coz vijana wa siku izi waezamrekodi MTU ukajikuta uko hewani....

avatar148204_2.gif

wewe ndio kichwa maji kwelikweli akili yako iko kwenye kitambi ndio maana unatukana hovyo
unawajua warabu au unawasikia
hapo walichokiongea ni kwamba kuna video karekodi??????//
au ni kipigo cha kuua mtu
fuatilia vizuri na pekua hiyo story km ni kweli sio tukutafunie
kwa habari za waarabu fuatilia wenyewe ndio utawajua 9km hoe shopping center) alivyotaka kuwauwa wenzake kwa kusikia tu kuwa wamemfuata dada yake je angerekodiwa???
usiamini kila kitu
WAARABU SI BINADAMU
 
Si mnmeshakaririshwa kuwa muarabu ni mkatili....sasa APA bongo mwizi anapoiba hukmu Yake nini ...mbona munampiga mpk anakufa na watu hawasemi kuwa wabongo wakatili...apo kikubwa uarabu unafananishwa na uislamu ndio tatizo...
 
Angalia asilimia kubwa ya hao wanaowapiga wezi, kuwavisha matairi, na kuwachoma moto ni watu wa imani gani.., nadhani itakupa mwanga zaidi ya kinachoongelewa hapa..
 
Back
Top Bottom