Dogo ala kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudakwa akimrekodi shangazi yake video akiwa bafuni!

Acha use...ukitaka apewe pipi au...Leo na kesho waikuta video iko kweny mitandao ...safi sana coz vijana wa siku izi waezamrekodi MTU ukajikuta uko hewani....

Ndio hicho kipigo ni sawa? we are talking about ukatiri meeen
 
safi kabisa kama unaona huyo dogo kaonewa na wewe kamrekodi shangazi yako
 
Hii kawaida tu. Dogo kama analeta ufirauni wa kuchungulia na kurekodi wakubwa zake hii sawa kabisa wala haina tatizo. Utaratibu wa kulea lea ujinga ndio maana siku hizi mabinti zetu wako bize na kupiga mipicha ya uchi!!!

Hapo hamna ukatili, dogo anawekwa sawa.
 
safi kabisa kama unaona huyo dogo kaonewa na wewe kamrekodi shangazi yako

Waambie bana, unafiki tu unawasumbua hapa. Huyu dogo ingekuwa ni mimi angeweza kuchezea kichapo kikali kuliko hiki. Kawaida sanaaaaa.
 
Natamani hao watasha siku wakuotee unabeba cd smwhere.., then wakushushie kipigo hevi kama hicho.., pale utakapoanza kujiharishia ndio utaona jinsi ilivyo kawaida saaaaanaaaa..!
 
Endelea kutamani tu. Hiyo Kawaida sanaaa we kama una tabia za kuchungulia shangazi zako ndio uache, la sivyo tukikumata ni mboko tu kama kawa.
 
Ninachojiuliza mama yake alikuwepo wakati wa adhabu hiyo? Maana naona kunabinti kashikiria kamba sijui ndo alikuwa anarekodiwa ama la? Lakini ni kipigo kikali cha kikatili ambacho mtu labda anatayarishwa kujitoa muhanga
 
Unaweza kuta huyo mama yake ndiye alifunga miguu na kumning'iniza then wanaume wakaachiwa wamshughulikie ipasavyo..
 
Lakini kwenye hii video sikuona fimbo ina mpata kijana , nasikia sauti na kijana analia - labda hii ni acting. Lakini pia ikiwa huyu kijana kweli kamrokodi shangazi yake basi anastahili kipigo zaidi ya hichi. Ni aibu vipi ikiwa video ya Shangazi yake yuko uchi itazagaa kila pahali. Huku ndio kulea sio unamuacha mtoto anapotokewa .
 
Endelea kutamani tu. Hiyo Kawaida sanaaa we kama una tabia za kuchungulia shangazi zako ndio uache, la sivyo tukikumata ni mboko tu kama kawa.

Mi nadhani vipigo kama hivi umeshakutana navyo sana home kwenu ulipokuwa mdogo.., so kwako ni kawada saanaaa.., swali lililobaki ni je, ulikuwa unafanya makosa gani..?
 
Aisee mi nakuasa uache tabia ya kuchungulia wakubwa zako. Sio nzuri kabisa.
 
Back
Top Bottom