FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,082
- 40,735
Dogo kwa kweli kichapo kala tena cha nguvu.da hawa ndugu kweli makatili
Strange video from Iraq shows what I presume is a domestic punishment.
It is said the naughty kid was caught filming his aunt in a bathroom doing her thing so to teach him a lesson about snooping on adult females, he was hanged upside down and several members of the family took turns to whip him. The only question left is where the hell is the video of his aunt doing her thing in the bathroom? Nothing wrong with that too. VIDEO
Bora kufunzwa na ndugu zake kwa bakora kabla hajafunzwa na ulimwengu kwa kumnyonga chezea mwarabu
sasa sijui wangempiga kitanzi dogo kama huyu..?!Kurekodi tu kala mkong'oto kiasi hicho. Je angekamatwa akiwa juu ya kifua cha mtu sijui ingekuwaje.
mkuu weka na hiyo video ya anti akioga. Ili habar isilalie upande mmoja
Umeona eeeh pengine alimuita wakoge wote dogo akakataa basi ndio akasingiziwa... wajua Waarabu hata Joseph walimsingizia pia baada ya kumkataa mke wa kiongozi... uhandsame sometime majanga.Shangazi yake labda kamsingizia tu.
Umeona eeeh pengine alimuita wakoge wote dogo akakataa basi ndio akasingiziwa... wajua Waarabu hata Joseph walimsingizia pia baada ya kumkataa mke wa kiongozi... uhandsame sometime majanga.
Kafiri sijui kasidi aachi asili??
aya majitu kweli nai makatili
Adhabu gani hizo unapewa mbele ya dada zako na mashangazi
Je ni kweli alimrekodi?
Du kweli Waarabu ni wa kukaa nao mbali