Mchepuko nomaa atakiwa kulipa milion la sivyo aliwe tigo na mwenye mke!! picha zinagoma kuzpost!!
kigogo anataka one million??
Mchepuko nomaa atakiwa kulipa milion la sivyo aliwe tigo na mwenye mke!! picha zinagoma kuzpost!!
sukali inatudhalilisha sana wanaume, tupunguze bia jamani hii sio kazi ya kusaidiwa hata kidogo.
ha ha ha ,,,,afadhali wewe leo umeamua kuzungumzia kiini cha tatizo...nkisema humu kitambi noma watu wanapinga...wake za vigogo watachapwa sana kwa staili hii ya ukigogo=tumbo kubwa
Na hiyo mwanza wake za wakubwa wanaliwa kweli kweli na ninatambua namna watu wenye vitambi vya bia wanavyoheshimika mwanza, vijana wadogo wanafuga matumbo kwa ajiri ya sifa za kijinga tu wakifika nyumbani badala ya kufanya kazi wanategemea kuendelea kusifiwa.
sasa kila kona sukari sukari ni shida.
Fumanizi mwanza kitangiri dogo aaihidi kulipa fidia chini ya kiongozi wa mtaa chec tukio!!&
=============
MCHEPUKO!! Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi wa mtaa wa Kitangiri jijini Mwanza amenaswa ‘live' gesti akiwa na mke wa kigogo mmoja (jina kapuni), aitwaye Mwanaidi wakijiandaa kuvunja amri ya sita.
Tukio hilo lilijiri Septemba 18, mwaka huu kwenye gesti moja maarufu iliyoko mitaa ya Kitangiri baada ya kigogo huyo kupewa ‘ubuyu' kwamba anaibiwa mali yake ndipo akaandaa mtego na kufanikiwa kumnasa kijana huyo alipokutwa kwenye chumba namba 4 cha gesti hiyo akijiandaa kuserebuka.
Kigogo alipopewa mchoro huo na wambea, siku ya tukio alimshtua Mwenyekiti wa Mtaa wa Kitangiri, Maginga Patroba, wakatia timu katika gesti hiyo, wakawakuta wachepukaji hao wakiwa kitandani huku Marck akiwa tayari ameshachojoa nguo, Mwanaidi akiwa bado," kilisema chanzo chetu na kuongeza.
Kigogo aliamuru wahudumu wagonge mlango ili wahusika wasishtuke, walipofungua ndipo mwenyekiti sabamba na kigogo huyo wakazama ndani."
Mwanaidi alipoona flashi za kamera ya mapaparazi zikiwamulika, alianza kuangua kilio mbele ya mumewe kumuomba awasamehe lakini kigogo huyo alimtaka kijana huyo amlipe fidia ya shilingi milioni moja kama adhabu ya kutembea na mke wake.
Kutokana na hali ya uchumi ya kijana huyo kutokuwa nzuri, hakuweza kulipa kiasi hicho cha pesa badala yake aliomba kupewa muda wa kulipa pesa hizo.
![]()
Kwa nn mwanamke hawajamfotoa?
Nna kaka yangu yeye kitambia alikuwa anakitafuta kwa udi na uvumba...juzi kati alikuwa anaumwa doctor kamwambia aanze diet chini ya ufuatiliaji wa huyu daktari maana anasema kisukari inamyemelea...diet iki feli basi anaanzishiwa dozi ya kudumu...
Kunenepa ni rahisi...kupungua ni kazi...utatamani uingie JKT kwa kujitolea