DOGO ADAI PROMOTION!

DOGO ADAI PROMOTION!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
Mara dogo katimba ofisini kamkuta mwalimu wa darasa.

Dogo: mwalimu mi nataka mnipandishe darasa hila la tatu halinifai.

Ticha:basi ngoja niongee na mwalimu mkuu.

Mkuu: nakuuliza maswali ukifauru nakupandisha darasa.

Swali:kwenye ndege kuna tifali 20 ukitupa nje tofali moja yatabaki mangapi?

Dogo: yatabaki 19.

Mkuu:nipe kanuni ya kuweka nyani kwenye friji.

Dogo: unafungua mlango unamweka nyani kisha unafunga mlango.

Mkuu.:nipe kanuni ya kumweka tembo kwenye friji.

Dogo: unafungua mlango unamtoa nyani unamwingiza tembo unafunga mlango:

Mkuu: kuna sherehe ya kuzaliwa kwa simba wanyama wote walihudhulia kasoro mmoja ni yupi na kwanini?

Dogo: ni tembo kwasababu tulimfungia kwenye friji.

Mkuu: kwenye mto wenye mamba wengi bibi mmoja alivuka bila matatizo kwanini?

Dogo: kwasababu wanyama wote walikua kwenye sherehe ya simba.

Mkuu: lakini bibi huyo alipo maliza tu kuvuka mto mbele akafa nani alimuua?

Dogo:lile tofali tulilondosha.

Mkuu:mpeleke darasa la saba..

 
Alitakiwa aende secondary badala ya 7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom