DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

Mkuu watu wote watakuwepo siku ya kiama hata wewe ๐Ÿ˜ƒ
Hoja ya kwanza ๐Ÿ‘‰Siku ya kiama hakuna kufa bali hata walio kufa watafufuliwa na kuwepo kama ulivyo sema wewe ...

Hoja ya pili ๐Ÿ‘‰kama yesu akufa na kuja siku ya kihama vipi auishwe na kutwaliwa mbinguni ...maana imeandikwa kuwa mungu atakuuisha na kukutwaa mbinguni
Quran 3:55
"Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana" (hapa kuna maswali mengi na makuu mno na ya msingi sana )

Sasa tuje kwenye hoja zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰sura hii
Quran 3:55
"Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata.
๐Ÿ’ฅhapa tunaona maneno
1) KUUISHA
2)NITAKUNYANYUAA
3)KUFUATA(nitaweka wale walio kufuata juu ya walio kufuru)

Sasa hapa tunaona hayo maneno matatu yanayo zua maswali mengi sana nayo ni
1)waislamu wanasema Yesu akufa bali alitwaliwa mbinguni ....ila hapo kwenye hiyo sura tunaona neno KUFISHA sasa tunajiuliza Kwa mujibu wa waislamu wanadai yesu atakuja mara 2 duniani ila akija mara ya pili atawaelekeza watu wote kumfuata MUNGU NA MTUME MUHAMMAD SIYO KUMFUATA YEYE ...hivyo hiyo sura inazungumzua nyakati gani za Yesu duniani.
 
Hilo swali niulize mimi ? Ni swali tamu sana linalo kwenda kuthibitisha Yesu ni Mungu ? Yaani tofauti ya kuumbwa kwa Yesu na Adamu .
 
Nimesoma mpaka namba tatu nimegundua kua wewe hamnazo. Ukiuponda ukristo na ukaukumbatia uislam bado unakua mwehu. misingi ya kikristo ipo kwenye torati na injili, na waislamu wanasoma pia. Hebua achana na udini wako tujenge taifa..
 
Naomba ninyeshe aya ya Quran.

Hadith ziko nying.
Tukileta hadith zile ndio mtatukana kabisa hapa.
Kuna ile Hadith ya Shetan kupuliza matako ya watu wakiwa wana swali.
Kmmk ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ