Toka nimeingia iringa sili nyama ya hotelini au kwa mama ntilie,labda ninunue nijipikie mwenyewe.
Toka nimeingia iringa sili nyama ya hotelini au kwa mama ntilie,labda ninunue nijipikie mwenyewe.
Ukiwauliza wahehe wengi hapa iringa wanapendelea chakula gani,wengi watakujibu;ugali kwa maharage.Kwa kihehe maharage yanaitwa dogi.Hivyo wao watakujibu;tunapendelea kula ugali kwa dogi.Mh! Inawezekana ndo maana watu wengi tunasema wahehe wengi hapa iringa wanakula Mbwa.
Usiwatete hata kidogo, walikuwa wanakula dog kama dog lilivyo. Ila nasikia siku hizi wameacha.
... Piga tu mzee,mbona tamu tu kama mbuzi choma... Unanikumbusha mbali bhana, ipamba,tosa,junction,kihodombi na kule kwa kina Chifu Mkwawa (RIP).