Does Your Spouse Know Your Total Salary Package!

i really can't believe this amu watu washavuta mazima?watu wabaaaaaya!
kumbe kuchelewa kulala kuna raha yake!
ha ha ha
tatizo lako kila siku unanikuta nimeshaweka yale mambo yetu.
Huyu ndo amu mzima
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha
tatizo lako kila siku unanikuta nimeshaweka yale mambo yetu.
Huyu ndo amu mzima

tena mida ka hii ndo ungekuwa umekula ng'ada za kutosha,unabembea tu!
ka stock imekata onana na masadali,bado hatujalala
 
Last edited by a moderator:
tena mida ka hii ndo ungekuwa umekula ng'ada za kutosha,unabembea tu!
ka stock imekata onana na masadali,bado hatujalala

yaani hapa nina arosto vibaya sana natetemekaje!!! Siwezi kulala aiseee naenda pale mapambano sinza siwezi kukosa mda huu...
Sasa wewe mbona huchangii mada????
 
Mie hata nyumbani mshahara haufiki zaidi ya kuniona nimechangamka tu anajua leo ninazo,zote najenga heshima bar
 
To me, money is nothing.
kwa nini umfiche mkeo/mumeo kipato chako?
Siku ukifa unakufa na 'siri' yako?
 
Nisipojua kipato chako kama mke wangu...tutawezaje kuwa na plans endelevu?
Plan endelevu ni za mwanamme, mke ni msaidizi akiweza. Mimi mambo 50/50 siyawezi wala siyataki.................lol
 
naunga mkono
 
Ooh mimi ndiyo nina bahati mbaya kabisa!!mi wa kwangu ndiye anayepanga nilipwe ngapi! Mbaya zaidi huwa mara nyingi nakuwa mbali na ofisi hivyo husaini na kuzichukua pia,tukikutana nyumbani nakuta keshazipangia tayari,napata kinachobaki.
 
Plan endelevu ni za mwanamme, mke ni msaidizi akiweza. Mimi mambo 50/50 siyawezi wala siyataki.................lol

Si lazima iwe 50/50 maana vipato sio mara zote hulingana...umenena vyema uliposema mke ni msaidizi, kwa mantiki hiyo hata pale mume anapopungukiwa yapasa mke aongeze kama uwezo unaruhusu.
 
Si lazima iwe 50/50 maana vipato sio mara zote hulingana...umenena vyema uliposema mke ni msaidizi, kwa mantiki hiyo hata pale mume anapopungukiwa yapasa mke aongeze kama uwezo unaruhusu.

Kama ipo...usipange budget yako kutegemea big chunk kutoka kwa mamaa...kwanza wanatoka retirement mapema, ndio ninaposema mwanaume abebe mzigo mkubwa hahaha
 
Kama ipo...usipange budget yako kutegemea big chunk kutoka kwa mamaa...kwanza wanatoka retirement mapema, ndio ninaposema mwanaume abebe mzigo mkubwa hahaha

kwa hiyo ni hapa ambapo wadada/akinamama uwa wanakubali jukumu la bajeti ya familia ni la mwanaume tu, hapo wenyewe waruhusiw kuchangia kdg au wasichangie kabsa....yaani ni hapa mambo sijui ya mkutano wa Beijing 'KWISHNEH'!!! ha ha haa
 
Mi wangu anajuwa kila kitu, mpaka overtime... Sina sababu ya kumficha.
 
Binafsi huwa namficha wife kiwango cha pesa ninachopata na kikubwa ni kulinda privacy maana naona kama kuanika kila kitu kuna ninyima uhuru kama mwanaume...........
 
Fungu la kuhonga haliko auditable eeh?
Binafsi huwa namficha wife kiwango cha pesa ninachopata na kikubwa ni kulinda privacy maana naona kama kuanika kila kitu kuna ninyima uhuru kama mwanaume...........
 
si lazima iwe 50/50 maana vipato sio mara zote hulingana...umenena vyema uliposema mke ni msaidizi, kwa mantiki hiyo hata pale mume anapopungukiwa yapasa mke aongeze kama uwezo unaruhusu.

wanawake ni wagumu kutoa pesa zao,mkipanda bus ata nauli utalipa mwanaume
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…