Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,328
Aise Money stunna ni ngumu sana suala la mshahara kwa wenza. Huwa naona no bora liwe na uhuru kwa kila mmoja kuamua kusema au la!! Ila ninajua wanaume wengi wanapenda kufahamu mishahara ya wake zao!! Ila ya kwao!! Hapa ni pagumu sana. Cha msingi huwa naona ni vema kukubaliana maendeleo na ninani afanye nini na mchango ni kwa vipi. Dah hata wife awe na hela lakini nisikia kuwa obliged kuwa ni mimi kama kichwa cha nyumba natakiwa kuweka mambo sawa yale makubwa na yeye anachangia!! Na mshahara wake but huwa nampa hela pia!! Ndivyo imekuwa na hapo nakuambia matatizo madogomadogo kwa mke hutayasikia. Mpe jambo siku moja moja mafuta ya gari, hela ya shopping ya kitu anakitaka, etc. Ukutaka ku win maelewano kwa mke, just do little extras!! You will enjoy wonders!!
Mmmh akijua ili iweje
Definition yangu ya marriage differ with yours....Chake changu, changu changu period. On serious note.....kweli kweli kabisa mume au mke ukishajua kipato cha mwenziwako inaisadia nini.sasa si wamekuwa mwili mmoja,changu chako,cha kwako changu pia
Mmmh akijua ili iweje
Nisipojua kipato chako kama mke wangu...tutawezaje kuwa na plans endelevu?
what for?? his monie is our monie may monie is mine...simple as that
Definition yangu ya marriage differ with yours....Chake changu, changu chang period. On serious note.....kweli kweli kabisa mume au mke ukishajua kipato cha mwenziwako inaisadia nini.
Kama natimiza wajibu wa majukumu yangu ikiwepo Joint Account, sitaki kuulizwa what did you do with you money.
what for?? his monie is our monie may monie is mine...simple as that
Yap na hio ni moja ya taratibu zetu.
Na yanastawisha penzi sana.
Mbona vitu easy tu.
Anajua zangu na anajua natumiaje najua zake na najua anatumiaje.
Najua password zake za atm cards anajua zangu za atm cards .
Inshort hatufichani huu utaratibu tumejiwekea kabla hatujaingia kwenye ndoa na mzuri sana.
Issue zingine kucomplicate.
Ha ha password na id asiyoijuwa ni jf tu.
You know sometimes i write uporoto na si vizuri asome uporoto wangu.