Does Your Spouse Know Your Total Salary Package!

Does Your Spouse Know Your Total Salary Package!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,328
do you disclose your total salary package to your spouse.
I know some companies reviews salaries annually, do you disclose it when you get home?
Promotion is celebrated by couples, do you disclose the financial details attached?
Any reason why one should/should not disclose?
 
kama mna aminiana utamwambia why not?! lakin kama ni ndoa ya digital full kufichana!! "eti asije akajenga kwao" he! hee!
 
Aise Money stunna ni ngumu sana suala la mshahara kwa wenza. Huwa naona no bora liwe na uhuru kwa kila mmoja kuamua kusema au la!! Ila ninajua wanaume wengi wanapenda kufahamu mishahara ya wake zao!! Ila ya kwao!! Hapa ni pagumu sana. Cha msingi huwa naona ni vema kukubaliana maendeleo na ninani afanye nini na mchango ni kwa vipi. Dah hata wife awe na hela lakini nisikia kuwa obliged kuwa ni mimi kama kichwa cha nyumba natakiwa kuweka mambo sawa yale makubwa na yeye anachangia!! Na mshahara wake but huwa nampa hela pia!! Ndivyo imekuwa na hapo nakuambia matatizo madogomadogo kwa mke hutayasikia. Mpe jambo siku moja moja mafuta ya gari, hela ya shopping ya kitu anakitaka, etc. Ukutaka ku win maelewano kwa mke, just do little extras!! You will enjoy wonders!!
 
wanawake ni wagumu asa kusema kipato chao,akipokea million 1 atasema anapokea laki 2,wanaume ndio uwa wakweli sababu yakupenda ujiko kidogo uwa wanasema kweli ata kuongeza
 
Kama ni mke wa ndoa kwa nini mfichane. Sisi kila mmoja anaona salary pay slip ya mwenzake
 
To me it only matters if salary is the only means to account on all your family expenses. My spouse never asks me about my salary coz she gets whatever she needs at any time.
 
sasa si wamekuwa mwili mmoja,changu chako,cha kwako changu pia
Definition yangu ya marriage differ with yours....Chake changu, changu changu period. On serious note.....kweli kweli kabisa mume au mke ukishajua kipato cha mwenziwako inaisadia nini.

Kama natimiza wajibu wa majukumu yangu ikiwepo Joint Account, sitaki kuulizwa what did you do with your money.
 
Money stunna,

Mkuu the answer to your question lies on kind of marriage the two have been involved to.

Say if it ndiyo zile za mikataba, believe me that doesnt matter!But if it is really Christian marriage there is no problem in disclosing about it, actually there's a problem when not disclosing!

Why not disclosing to your partner? Say what worse could happen if she/he knows?...and on other hand, do you really expect your partner will look you the same way he/she did before finding out?

May be because we belong together in the same field, that's why yeye anajua.But kumbuka mambo kama ya malimbikizo, mafao etc matters sana esp. if he/she wont know for family welfare.

There's alot that could happen when your spouse doesnt know/when you hide about your salary,allowances..why marrying him/her if yet you can keep secret from each other?!something must be wrong with the 'foundation' of your marriage.
 
Last edited by a moderator:
what for?? his monie is our monie may monie is mine...simple as that

wewe wasema mama...ila nini maana ya ndoa kama kuna kitu kinaitwa "changu" na "chako".
 
Yap na hio ni moja ya taratibu zetu.
Na yanastawisha penzi sana.
Mbona vitu easy tu.
Anajua zangu na anajua natumiaje najua zake na najua anatumiaje.
Najua password zake za atm cards anajua zangu za atm cards .
Inshort hatufichani huu utaratibu tumejiwekea kabla hatujaingia kwenye ndoa na mzuri sana.
Issue zingine kucomplicate.
Ha ha password na id asiyoijuwa ni jf tu.
You know sometimes i write uporoto na si vizuri asome uporoto wangu.
 
Definition yangu ya marriage differ with yours....Chake changu, changu chang period. On serious note.....kweli kweli kabisa mume au mke ukishajua kipato cha mwenziwako inaisadia nini.

Kama natimiza wajibu wa majukumu yangu ikiwepo Joint Account, sitaki kuulizwa what did you do with you money.

what for?? his monie is our monie may monie is mine...simple as that

ubinafsi huu sasa
 
sijawahi kuweza kuficha kiwango cha mshahara ,na sioni nitafanya vipi kuficha..... nafikiri vitu vingine nachukulia kirahisi rahisi labda.
 
Dah safi sana amu. Wameficha kibonyezeo cha like -ningekubonyezea!

Yap na hio ni moja ya taratibu zetu.
Na yanastawisha penzi sana.
Mbona vitu easy tu.
Anajua zangu na anajua natumiaje najua zake na najua anatumiaje.
Najua password zake za atm cards anajua zangu za atm cards .
Inshort hatufichani huu utaratibu tumejiwekea kabla hatujaingia kwenye ndoa na mzuri sana.
Issue zingine kucomplicate.
Ha ha password na id asiyoijuwa ni jf tu.
You know sometimes i write uporoto na si vizuri asome uporoto wangu.
 
Mke wang anajua mshahar wang kwa sabab anajua cheo chang serikal na ngazi za mishahra serikaln huwa hazina kificho. Hata yeye yuko selikaln najua cheo chake so najua salary scale yake but sijawah kuuliza anapeleka wap pesa zake ila huwa naona mwenyew akiamua anafanya mambo makubwa ya pamoja, nami nashangilia tu. But hajawah kuniuliza napeleka wap pesa zang na wala yeye sijwah kumuuliza anapeleka wap zake, cha msingi natimiza mahitaj yake ya kifedha na kijamii.
 
Yap na hio ni moja ya taratibu zetu.
Na yanastawisha penzi sana.
Mbona vitu easy tu.
Anajua zangu na anajua natumiaje najua zake na najua anatumiaje.
Najua password zake za atm cards anajua zangu za atm cards .
Inshort hatufichani huu utaratibu tumejiwekea kabla hatujaingia kwenye ndoa na mzuri sana.
Issue zingine kucomplicate.
Ha ha password na id asiyoijuwa ni jf tu.
You know sometimes i write uporoto na si vizuri asome uporoto wangu.

i really can't believe this!@amu watu washavuta mazima?watu wabaaaaaya!
kumbe kuchelewa kulala kuna raha yake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom