Nimepita huku mpenzi,nayajua haya uyasemayo
we unaumia Kiroho ye wala ashatoka huko siku nyingi....
Tatizo wanajifanyaga hawataki mambo mengi kwenye mapaenz wao wanawaza kugongana then mzae miromance ya kufa mtu wanaona ujingahahaa mbona umenichekesha hivyo wakati mwenzio niko serious.......
so mshua ki hivo,ata ukituona wawil huwezi kunotice age difference zetu
hadi nikwambie!!!!!!!!!!!!
What do you mean Anafaaaaa? Ofcourse anafaaaaaaa!
Age is just a number!!!!!
30's are the new 20's Mi nakushauri (Sasa suala kama je niko credible kukushauri hayo mambo mengine!), think outside the box mambo mengine ya msingi na sio kukomalia hio Age.
Mimi baba angu na mamushka wamepishana 15 years. Ila wanawake tulivo na miili isyo nashukrani ukiwaona utasema wanalingana uzee.
Mi nilijua Age difference unaongelea 70yrs huko!
That age does not matter in real relationship. Umri huo wala sio mzee tena ni kama ulivyosema watu wakikuona hawaezi kubain tofauti hiyo kubwa. watu wengi wamekushauri vizuri sana. zingatia ushauri wao hata mie nakuambia umri huo kwko ndo mzuri utakuwa na mume siyo mwanaume. suala kubwa kwa mwanamke ni kupata mume, na ili awe ni kichwa cha familia yenu mwanaume inashauriwa amzidi mwanamke angalau zaidi ya miaka mitano kuepuka magomvi ya mara kwa mara, mana wanawake huzeeka mapemaa hasa wakishaanza uzazi. Hivyo huyo ndo mwanamume kwako dadangu.
Hilo ulilotaniwa la unatakiwa ugegendwe na kukunjwa lisikutishe, tendo la ndoa sio mazoezi ya gym wala ya mieleka kusema muumizane, anaejua anajua tu haijalishi umri, mtu wa miaka 40 au zaidi anaweza akawa fundi zaidi katika kumridhisha mwanamke kuliko wa chini ya miaka 20. Tendo la ndoa ni sanaa au ufundi na ufundi haujalishi umri.
Mchukue huyo mtu lakini kama unahitaji kuolewa nae jaribu kuzingatia mambo mengine kama tabia, mwenendo na mengineyo, umri just forget it.
Heaven on earth naona kama ushapata your heaven on earth. Mi sina cha ku add kwa kweli.
Ukishaongea na maza ndo mpango mzima utaamua mwenyewe.
the good thing about this relationship ni kwamba you will be able to have a focused life and a matured perspective of things in life at an early age. By the time you strike 30 and he is 40, you are more matured than your age mates and friends.
That age does not matter in real relationship. Umri huo wala sio mzee tena ni kama ulivyosema watu wakikuona hawaezi kubain tofauti hiyo kubwa. watu wengi wamekushauri vizuri sana. zingatia ushauri wao hata mie nakuambia umri huo kwko ndo mzuri utakuwa na mume siyo mwanaume. suala kubwa kwa mwanamke ni kupata mume, na ili awe ni kichwa cha familia yenu mwanaume inashauriwa amzidi mwanamke angalau zaidi ya miaka mitano kuepuka magomvi ya mara kwa mara, mana wanawake huzeeka mapemaa hasa wakishaanza uzazi. Hivyo huyo ndo mwanamume kwako dadangu.
Hilo ulilotaniwa la unatakiwa ugegendwe na kukunjwa lisikutishe, tendo la ndoa sio mazoezi ya gym wala ya mieleka kusema muumizane, anaejua anajua tu haijalishi umri, mtu wa miaka 40 au zaidi anaweza akawa fundi zaidi katika kumridhisha mwanamke kuliko wa chini ya miaka 20. Tendo la ndoa ni sanaa au ufundi na ufundi haujalishi umri.
Mchukue huyo mtu lakini kama unahitaji kuolewa nae jaribu kuzingatia mambo mengine kama tabia, mwenendo na mengineyo, umri just forget it.
Usisahau kurudi kwa ajili ya updates tafadhali. Na mama akikubali tuambie tuandae matumbo ya kula ubwabwa. Wadau hawa am sure hawatashindwa kukuchangia walau 30,000 kila mmoja.
Anafanya hivyo kwa kuwa ni kweli kapevuka hivyo hilo halitii shaka yoyote...yaani ni yule mtu fulani ana act so matured hadi najishtukia
kuna vitu flani naviona kwake amabavyo mimi najiona yeah I still want to
do,this act this way,na ye huko wala hayupo!!!!!!!
itakuwa na wewe ni mtu mzima....Mimi naona sasa ndo umepata kwa mtu mwenye difference ya 10. Maana kama ulivyosema umekuwa na vijana wenzako wee mpaka ukaamua kujiweka pembeni kwa sababu ya purukushani zao. Mtu mzima anajua kile anafanya na si mtu wa kukurupuka kwenye mapenzi kama vijana wako hao uliokuwa nao. Mimi nakushauri uchangamkie kama unaona na wewe umependa. Age is just number what matter is real love
HAHAHA kualika wana JF itakuwa sawa but only if mambo yakienda
as expected.halafu ole wako usichangie...............