Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,716
Habari zenu wana MMU!!!!!!!

i think its my first time kuomba ushauri humu hasa kuhusiana na my personal life,
am a girl in my earlier 20"s elim yangu na nna kazi yangu kiasi kwamba I can take care of myself,
nimepitia kwenye relationship that really sucks mpaka ikabidi nijiweke Pembeni kidogo na mambo ya mahusiano,

Lakin sasa nimekuja kukutana na huyu kijana,tuliwahi ku attend workshop pamoja kipindi fulani na tukawa
kwenye category moja so hiyo ilitupa chance ya kuwa friends/collins baada ya workshop kuisha
kila mtu alienda njia yake ikabakia "HI" za hapa na pale!!!!!

hizi siku za karibuni ndio that Guy ameniibukia,sijashangaa sana cos that time I just read the signs nikajua
jamaa kuna kitu kazimikia sema hakunambiaga tu!!!!!!!

sasa what makes me worries ni age difference yetu,yeye ni amenizidi kwa miaka 10,so nikikwambia am in my
early 20's ye nae yuko in his early 30's, sometimes I find it so weird.

I'm beginning to have feelings but I find it so awkward nikiwaza age naona ana act as an adult sana
sa mi Heaven on earth naona I have a certain kind of life ambae ni tofauti na yeye sasa my worry is
will I be able to cope,cos hatujaingia ktk relationship ila naona kama ni mtu wa kuniambia the DO'S and DONT'S!!!!!!

mambo mengine he is okay,he is lookong forward to a long term commitment (mtakuwa mmenielewa hapo)
financially stable ila sitaki hiko kuwa the main reason ku enter into relationship,i just want to consider other things.

Am planning to talk to my Mum this weekend but nahitaji kujua hili ni sahihi!!!!!!
watu wa hivi wapo na maisha yao ya ndoa huwa yana WORK OUT!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona sasa ndo umepata kwa mtu mwenye difference ya 10. Maana kama ulivyosema umekuwa na vijana wenzako wee mpaka ukaamua kujiweka pembeni kwa sababu ya purukushani zao. Mtu mzima anajua kile anafanya na si mtu wa kukurupuka kwenye mapenzi kama vijana wako hao uliokuwa nao. Mimi nakushauri uchangamkie kama unaona na wewe umependa. Age is just number what matter is real love
 
Age matters alot but nt all the time! Discrepancy ya umri kati yenu ikiwa kubwa sana kunakosena 'friendshp', yani mpenzi wako anatakiwa awe rafiki yako, muwe katika phase! Isiwe km hvyo labda kutokana na umri na life style yako mnaweza mkatofautiana kimtazamo katika vi2 fulani kwa mfano unaweza taka kwenda club kufurahia mziki, yeye akahisi ni utoto akakukataza au akakataa kwenda na wewe, ukajihisi vibaya! Mahusiano yakaanza kulega! Lakini cha msingi ni MAZUNGUMZO baina yenu muelezane nani anataka nini na nani anataka nini, You Will Make It
 
Oyaaaa hyo age ni number tu za kawaida.Changamkia maeneo achana na Home boys hawa wanakurupuka tu katika mapendh.Make that man your friend na utaona kama you are all early 20's.
Mi yangu hayo tu.
 
Mimi naona sasa ndo umepata kwa mtu mwenye difference ya 10. Maana kama ulivyosema umekuwa na vijana wenzako wee mpaka ukaamua kujiweka pembeni kwa sababu ya purukushani zao. Mtu mzima anajua kile anafanya na si mtu wa kukurupuka kwenye mapenzi kama vijana wako hao uliokuwa nao. Mimi nakushauri uchangamkie kama unaona na wewe umependa. Age is just number what matter is real love

Vi feelings naviona tena vinakuja kwa kasi ya ajabu......

nimedate na mtu tulikuwa the same age,what happened left me with a broken heart
sema hii age difference nimeiona kama ni kubwa,I just dont know for real.........
 
Hapo mwanawane olewa hiyo difference ndo normal na inatakiwa hata heshima hapo inakuwepo na usisahau kua mwanamke ndo anakua wa kwanza kuzeeka for that matter mtazeeka pamoja na heshima itakuwepo kama kawa

mda mwingine nahisi hivyo lakin
my BIG question is will I be able to cope his life style!!!!!!
 
What do you mean Anafaaaaa? Ofcourse anafaaaaaaa!

Age is just a number!!!!!

30's are the new 20's Mi nakushauri (Sasa suala kama je niko credible kukushauri hayo mambo mengine!), think outside the box mambo mengine ya msingi na sio kukomalia hio Age.

Mimi baba angu na mamushka wamepishana 15 years. Ila wanawake tulivo na miili isyo nashukrani ukiwaona utasema wanalingana uzee.

Mi nilijua Age difference unaongelea 70yrs huko!
 
Kwangu age matters a lot, 4-6 is good for me... Miaka 10 nahisi nipo na mtu tusiyeendana ila wengi hawajali sana, wanawake mna maumbile yanayokublika na age difference kubwa so sio big deal, kama una hisia nae. Angalia mambo mengine ya msingi, jaribu kuona kama mna match katika nyanja zingine za maisha.
Good luck with that Heaven on earth.
 
Last edited by a moderator:
suala la umri sio issue kivile, issue muhimu ni mapenzi na kuelewa baina yenu, na mapenzi na kuelewana huku kunajengwa na urafiki zaidi, kwa umri huo ikiwa mnatengeneza urafiki ndio mapenzi yanaweza kuimarika zaidi...

na hiyo ndio tofauti kubwa iliyopo kati wapenzi wakiwa rika moja la umri.... sikiliza moyo wako unasemaje!!
 
Tatizo la hao raia wema wanaingizaga ukubwa hadi kwenye maloveee ataanza kukutreat ka mdogo wake and at the same time ka mpenzi wake,kingine muhimu saaaana Heaven on earth unatakiwa ugegedwe vizuri na ukunjwe kisawasawa na michezo kibao ya maloveee huyo mshua atawezaaaaaaaaaaaaa
 
yani bestito age sio tatizo la wewe eti kuona hakufai,
huyo anakufaa kabisa best achana na vivulana vinuka nepi
kwani wanakuchezea na kukuacha solemba.

Angalia moyo wako unasemaje je una amani na mtu huyo
basi mpokee kwa busu la furaha. utaenjoy maisha kwa uhuru
wako mwenyewe bila kuwa na stress za hapa na pale za wavaa
nepi uchwara, nenda mshirikishe kwanza mtu mzima hiyo makitu
kisha ndo uende kwa mama yako.
Hongera mdogo wangu nakutakia maisha mema na huyo shemeji
 
Kwa interval hyo my dia wory not! Kama unafeelings nae we jilipue tuu! Huo ndio umri mzuri hasa kwa mwanamke kucope na mwanaume! Mtabalance saana! Yan cku ukijajuuu atakushusha taratiibu kama malkia wake,utamweshim siyo boys upo ghorofani na yeye anakupandia hukohuko mwisho wa siku mnaangushana loh! Difference nzuri hiyo! I think u get me!
 
What do you mean Anafaaaaa? Ofcourse anafaaaaaaa!

Age is just a number!!!!!

30's are the new 20's Mi nakushauri (Sasa suala kama je niko credible kukushauri hayo mambo mengine!), think outside the box mambo mengine ya msingi na sio kukomalia hio Age.

Mimi baba angu na mamushka wamepishana 15 years. Ila wanawake tulivo na miili isyo nashukrani ukiwaona utasema wanalingana uzee.

Mi nilijua Age difference unaongelea 70yrs huko!

wala sio 70 years its just 10 yrs,sema the way anavyo act
kama ana ni control fulani kwamba DO this DONT do this!!!!

mambo mengine kama yapi niya consider,uko credible kunishauri
I just love the way you led things so we nishauri tu i will be grateful!!!!!
 
Tatizo la hao raia wema wanaingizaga ukubwa hadi kwenye maloveee ataanza kukutreat ka mdogo wake and at the same time ka mpenzi wake,kingine muhimu saaaana Heaven on earth unatakiwa ugegedwe vizuri na ukunjwe kisawasawa na michezo kibao ya maloveee huyo mshua atawezaaaaaaaaaaaaa

hahaa mbona umenichekesha hivyo wakati mwenzio niko serious.......
so mshua ki hivo,ata ukituona wawil huwezi kunotice age difference zetu
hadi nikwambie!!!!!!!!!!!!
 
Daaah jamani my mdogo Heaven on earth ina maana grafani11 is 30!!!!!!!!jamani(sorry my mdogo its just a joke banah dont take it serious i know kwa hili uko serios mwaya)

Back to the topic huo umri wenu sio ishu kabisa labda kama wewe ndo ungekuwa unamzidi hus wako to be kwa kiasi hiko ingekuwa kazi kidogo,lakini kwa kuwa yeye hus wako ndo kakuzidi that amount sio tatizo hata kidogo,lakini huo ni ushauri tu uamuzi wako unapaswa kutegemea maoni yako kuhusu hilo,unahisi utajisikiaje ikiwa utajipa go ahead ya kuwa naye na pia je unampenda?unampenda kwa sababu zipi?ukishajiuliza na kutafakari kuhusu vipengele hivyo hope utapata majibu na kufanya maamuzi sahihi.i wish u the best mamito.

Jamani nyie akina taamu NIGGA Tamatheo Mr Rocky njooni mumshauri Heaven on earth anahitaji my your :help:.
 
Last edited by a moderator:
Kwa interval hyo my dia wory not! Kama unafeelings nae we jilipue tuu! Huo ndio umri mzuri hasa kwa mwanamke kucope na mwanaume! Mtabalance saana! Yan cku ukijajuuu atakushusha taratiibu kama malkia wake,utamweshim siyo boys upo ghorofani na yeye anakupandia hukohuko mwisho wa siku mnaangushana loh! Difference nzuri hiyo! I think u get me!

I get you best,ila umenichekeshaje hapo
kama uko ghorofani anakupandia huko huko LOL!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom