I like smart men, I hate a man who smells body odour.Let's go downright to the point, i have been hearing this several times mostly from middle aged women and men as well. I just want to hear some from you guys.
Is it effeminate for a man being extremely smart (hygienically)??
Heard some women dislike when a man is extremely smart and considered as girly.
[emoji1313]Hizi kauli nimekutana nazo sana.
"How come mwanaume unakuwa msafi kuliko dada zako" , Unadate mwanaume msafi, ananukia kukuzidi mpaka unajishtukia.
Some women prefer a well-groomed clean shaven men, while others die for fully thick beard men.
Le me here from ladies out here, ni kweli kuwa mwanaume kuwa msafi sana ni mambo ya kike, ni kweli usafi na kujipenda ni mambo ya ke tu???
Sky Eclat yna2 Paula Paul Heaven Sent na wengineo.
Karibuni.
View attachment 1418319
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi navaa na hereni kabisa sikio mojaMwanaume kuwa msafi hakuna tatizo..Kama usmart wa mavazi ..kushave beard..kunukia vizuri..kucha Safi nk...ila Kuna ile kupitiliza Sasa doh! Ndiyo hapo me anaonekana Kama ke.
mimi msafi sana navaa mpaka hereni sikio mojaUmenikumbusha kuna mkaka tulikuwa tunasoma naye. Sidhani kama kuna mtu mchafu kama yeye. Haswaki ukiangalia mdomoni kwenye meno nadhani unaelewa. Haogi na wala habadili nguo halafu eti alikuwa na baby.
Nilikuwa najiuliza sana ila nikagundua hamna watu wachafu kama ngozi nyeupe. Jamani asilimia kubwa ya ngozi nyeupe ni wachafu sana, kutokuswaki, kuoga, kubadili nguo kwao kawaida sana. Ila wabongo ni wasafi sana yaani.
Nirudi kwenye mada, usafi hauna jinsia. Mwanaume kuwa msafi inapendeza sana.
Kuvaa hereni haitoshi uvae na kipini kabisa
Kwanini?
Well 👏, nimekuelewa sana yna2 sasa hiyo iliyopitiliza ndio ningependa kuisikia, inakuaje, i mean kupitiliza how?Mwanaume kuwa msafi hakuna tatizo..Kama usmart wa mavazi ..kushave beard..kunukia vizuri..kucha Safi nk...ila Kuna ile kupitiliza Sasa doh! Ndiyo hapo me anaonekana Kama ke.
Speaking of that guy 😅, Swali la kujiuliza kuna a certain girl kafa kaoza kabisa kwa the guy. I think this issue is very subjective.Umenikumbusha kuna mkaka tulikuwa tunasoma naye. Sidhani kama kuna mtu mchafu kama yeye. Haswaki ukiangalia mdomoni kwenye meno nadhani unaelewa. Haogi na wala habadili nguo halafu eti alikuwa na baby.
Nilikuwa najiuliza sana ila nikagundua hamna watu wachafu kama ngozi nyeupe. Jamani asilimia kubwa ya ngozi nyeupe ni wachafu sana, kutokuswaki, kuoga, kubadili nguo kwao kawaida sana. Ila wabongo ni wasafi sana yaani.
Nirudi kwenye mada, usafi hauna jinsia. Mwanaume kuwa msafi inapendeza sana.
Nimejihisi kama unanisema mimi, enzi nasoma.Umenikumbusha kuna mkaka tulikuwa tunasoma naye. Sidhani kama kuna mtu mchafu kama yeye. Haswaki ukiangalia mdomoni kwenye meno nadhani unaelewa. Haogi na wala habadili nguo halafu eti alikuwa na baby.
Nilikuwa najiuliza sana ila nikagundua hamna watu wachafu kama ngozi nyeupe. Jamani asilimia kubwa ya ngozi nyeupe ni wachafu sana, kutokuswaki, kuoga, kubadili nguo kwao kawaida sana. Ila wabongo ni wasafi sana yaani.
Nirudi kwenye mada, usafi hauna jinsia. Mwanaume kuwa msafi inapendeza sana.
Mwanaume kuwa msafi si jambo la ke .
Usafi hauna jinsia mtu lazima awe mtanashati
Sent using Jamii Forums mobile app
Seriously?? Kuna uhusiano gani kuwa msafi na so called kuombwa ndogo???hamna tatizo kua msafi sana. tatizo lenyewe linakuja pale ukiombwa mzigo(ndogo) na wahuni.
mwanaume anatakiwa awe msafi casual na ka harufu ka ubeberu-beberu hivi, sio unanukia vi strawberry vichipsi...
Sent using Jamii Forums mobile app
watu watajua ni bwabwa... si unajua wahuni wa tz yetu ya viwonderSeriously?? Kuna uhusiano gani kuwa msafi na so called kuombwa ndogo???
Daaah, aisee!watu watajua ni bwabwa... si unajua wahuni wa tz yetu ya viwonder
Sent using Jamii Forums mobile app