Makokomakoko27
Member
- Aug 5, 2017
- 80
- 39
Mkubwa wamepoteza think tank lao 'dr slaa'hakuna tena wa kuumba agenda ye.nye mashiko.GreenCity hizi i.d fake tunazozitumia humu zisikudanganye.
Miye nimetoa huo ushauri kwa Upinzani nikiwaasa kuepuka kuwa bendera fuata upepo kwa kila fupa linalotupwa na Rais au Serikali.
Bali wakomae na ajenda kuhakikisha zinazaa kwanza matunda kabla ya kudandia nyingine!
Kama anajiamini atashinda, aruhusu katiba ibadilishwe ili kuwe na tume huru ya uchaguzi tuoneMjina Mrefu
Let me ask something.
Was Bashite part of your policies when you were asking for votes in 2015.
Will Magufuli loose the 2020 GE because of his mishandling of Bashite Saga?
If Yes,then well anda good.
If not,then why all these unnecessary and uncalled for jabberings!?
Kwann ukwepe suala la katiba?Mjina Mrefu
Si unanaona hata wewe ili jambo linakutesa.
Badala ya kustick kwenye hoja mpaka mwisho umebaki kuhama hama tu.
Ona sasa,ushadandia hoja ya Katiba Mpya.
Kwahiyo rais akikiuka sheria za nchi wanyamaze kimya kwakuwa tu wataonekana wamedandia hoja?chabusalu hakuna aliyekataa,waache kudandia hoja kila mara rais anapoziibua!
Wakomae kusimamia ajenda zao wenyewe wanazoziibu mpaka zizae matunda na siyo kuziacha hewani kwa kimbilia zingine !
Kashinda chama tawala!
Mkuu,nadhani ulitaka kusema chama tawala kiko weak sana na kinaishi kwa kuvu za dola,watawala nchi hii hawataki kusikia kusanyiko lolote la wapinzani liwe la nje au mkutano wa ndani demokrasia imerudi nyuma miaka 25,unajiuliza nini hofu ya watawala??HAWAJIAMINI.??
Mkuu, unaona kama upinzani wetu huu unaweza fanya kitu gan mbele ya chama tawala ata kweny uchaguzi ujao tuu hakuna kipya.Wangekuwa weak wasingemiminiwa risasi 40
Kwa mfano, ajenda gani ambayo imeachwa hewani na upinzani? Upinzani wako very strategic, wanafanya mambo yao ili kuendana na utendaji wa serikali ya awamu ya tano, na haishangazi serikali inatumia nguvu zilizopitiliza kuwanyamazisha. Upinzani hawaongozi serikali kiasi kwamba wafanye kile unachotamani wafanye. Wanawezaje kuwa na ajenda ambayo implementation yake bado inategemea na usikivu wa serikali. Hicho unachokisema sio kwa nchi kama hizi za kwetu. Hilo linawezekana kwa nchi za wenye akili.chabusalu hakuna aliyekataa,waache kudandia hoja kila mara rais anapoziibua!
Wakomae kusimamia ajenda zao wenyewe wanazoziibu mpaka zizae matunda na siyo kuziacha hewani kwa kimbilia zingine !
Kazi ya vyama vya upinzani ni KUISIMAMIA,KUIKOSOA NA KUISHAURI serikali,kuishangilia na kuisifia haina mantiki maana watakuwa wanatekeleza walichoahidi kwa wananchi na hii si kwa Tanzania tu ni dunia nzima.wanaishi kwa kusubiri serikali au flani kakosea wapi.
Huyo "magufili cares" ni mdudu gani? si tuko bize tunakula maisha hata sie "who cares"Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
Huna la kuvifundisha vyama pinzani zaidi ya kupropagate na kuviundermine ili kuwavunja wenye mitazamo tofauti moyo! Kwahiyo wewe kuvunjwa kwa katiba kunakufurahisha?GreenCity hizi i.d fake tunazozitumia humu zisikudanganye.
Miye nimetoa huo ushauri kwa Upinzani nikiwaasa kuepuka kuwa bendera fuata upepo kwa kila fupa linalotupwa na Rais au Serikali.
Bali wakomae na ajenda kuhakikisha zinazaa kwanza matunda kabla ya kudandia nyingine!
Hipo kazFLAMMARION23
Na leo yuko huko Zanzibar,atawarushia fupa jingine,na watasahau ajenda zote ikiwemo ya Chief Clerk wa Bunge.
Stay tuned