Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,524
Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
Aliyekwambia kazi ya upinzani ni kumfanya Marufuku ajali ni nani? Upinzani wanatekekeza wajibu wao, na miongoni mwa wajibu wao ni kukosoa maamuzi au matendo ya hovyo au yaliyo kinyume na katiba-kwamba atajali au hawajali sio suala la upinzani pekee.Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
Ipo siku utashangawaza konda akimdai mtu mwenye kitambi na suti nauli halafu awe hana. Abiria watalaumu kuwa hataki tuu kulipa ila sio kakosa. Ndio wajamaa waliovyoumbwa kujibia watu maswali kwa vile hawaamini majibu mbadala.Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.
Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.
Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.
Mmemusema Makonda wee,alijali?
Mmemusema Kalemani,alijali?
Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.
Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.
But at whose expense?
Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.
Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.
Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.
But Does Magufuli care?
Why sho he care? He is an elected president with all mighty powers.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
May beA person who doesnt care is a careless person. Is he?
How can their agendas bear fruits wakati bunge linaendeshwa kwa remote toka ikulu?mshana jr then if that is so,i would rather advice the Opps wing to stick to their ajendas,and work hard to make sure they bear fruits first before hopping to other irrelevant ajendas.
Elected president to work for his people not to abuse the power of the office of the president of tanzania ...Why sho he care? He is an elected president with all mighty powers.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]