2G Network | GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 |
3G Network | HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 |
Tanzania | 900 | 1800 | 3G/HSDPA |
Mkuu sijakulewa ! More info plz.unatakiwa uchakachue kasim card tuu kawe kadogo kwisha kazi bongo tambarare
Hasa hizi iphone 4 zinatumia kadi ndogo kuliko za huku kwetu so unachotakiwa kufanya ni kuipunguza ili iweze kufit vizuriMkuu sijakulewa ! More info plz.
View attachment 34607I every like Iphone,I have two iphone mobile phone, very good, huh, huh, because I have participated in the company's mac os certification APPLE
Inawezekana kuwa na njia nyingi za ku unlock, lakini this is the best one, thumb upzinafanya kazi vizuri tu.kama huko uliko unaweza ya kununua vitu kwenye ebay basi unaweza kununua Gevey unlocking sim card inagharimu kama dola 6,i did it and enjoy my i phone ndani ya bongo bila usumbufu wa ku unlock kaka
zinafanya kazi ata ikiwa locked we nunua tu[/QUOTE how can that be
kitu kidogo tuu unakata kale kagamba cha juu unaachaa kale kachip kwenye line.Hasa hizi iphone 4 zinatumia kadi ndogo kuliko za huku kwetu so unachotakiwa kufanya ni kuipunguza ili iweze kufit vizuri