Does circumcision affect penis size

Watu tuache uvivu,tusome vizuri kwenye hiyo link,wale wasiojua kiingereza tuwatafsirie nao wapate kidogo
 
Kwaani hapo ugumu wa kuelewa upo wapo? Issue ni hapana au ndio but for my own view circumcision does not affect penis size. Size of penis whether is tall and big enough or short and thin enough it depends to on trible and environment also. For those comes from lake zone and southern region watakubaliana nami kuwa ukanda huo wanaume penis zao kubwa. But msininukuu vibaya kuwa labda mikoa mingine wanaume penis zao ndogo na fupi kutokana na tohara hapana wapo ambao wametahiriwa na size zao zuri.
 
Kutahiriwa hakuna uhusiano wowote na uume kuwa mdogo.
Mtu anapotahiriwa kinachoondoka ni ngozi tu inayofunika kichwa cha uume na si kitu kingine zaidi.
Uume ili ukue unahitaji cell division(kuongezeka kwa seli hai za uume).
Sasa jiulize unapotahiriwa unazuiaje hizo seli zisiongezeke idadi.

Uume ili ukue unahitaji vichochezi(androgens ambazo ni homoni za kiume).
Pia Genetics pamoja na vyakula vinaathiri ukubwa wa uume(kuna familia unakuta wao maumbile yao ni madogo karibu wote).

Kwa kusema kutahiri kuna sababisha uume mdogo ni uvivu wa kufikiri na ni dalili za kuwa empy minded.
 
Back
Top Bottom