Does Age Really Matter??



Mmmh!:doh:
 


Kwa kweli GFM kaka yangu nadhani mie ntakuwa mtovu wa nidhamu......yaani nikuamkie shikamoo?? mh itanikwaza yaani misarakasi yote nlikupigia muda ule, midirty words.........uote ikiwemo ile ya ntukanie sijui nani .....ah afu ati naanza tu shikamoo.....ah bwana mie kuwa ngumu bwana wewe.........................ntakupa mambo tu au za saa hizi bwana ah...........kama ni utovu wa nidhamu mniambie, nijirekebishe
 

Hahah unajua mpaka mfikie caressing and the like ....... utakuwa umevuka a lot of huddles maana lazima siku za kwanza utakuwa na nidhamu kamakawa ...then from there ndo utovu unaanza ........... hapo
kwenye pink hapo ......hivi hayo mawani yako hayahitaji kusafishwa .................. nlishawahi kuwa
fundi mawani ........... ngoja ntafute kale ka-toolbox sijui kakowapi tena.........LOL
 
mj1 nadhani kaongea ukweli lakini pia kuna wanawake ni wadogo kiumri lakini wana-maumbo makubwa cha msingi ni matunzo ,kama mama mdada utajitunza na kujipenda unaweza kuwa na 50 mtu akikuona akadhani una 40 matunzo yana matter zaidi
factor of age si katika kuonekana umezeeka. Ila ni hivi, wanawake wanakuwa mature haraka kuliko boys. Kwa hiyo mwanamke akikuzidi umri atakuongoza hadi uchoke labda atumie busara tuu. Ndoo maana si rahisi kuoa mwanamke aliye kuzidi uumri. Mwanamke mwenye 18 anaweza kuishi vizuri na mwanaume wa 30+ lakini kinyume chake ni false. So make sure unakuwa makini na mwanamke unaye mwoa. Lakini kama mungu amekupa usitake taraka yote mwachie yeye.:
 
Where does the age difference come in when two are in love? Age does matter and sometimes it doesn't
 
umri una matter sana huwezi kuolewa na zee limekupita kuanzia 15 years ukaona ni sawa au kuolewa na mwanaume mliyelingana umri tukubali au tukatae wanawake tunachoka haraka wakati mumeo yuko speed mia alishakuzalisha vitoto kazaa umeshajichokea unabaki kulalama tu siwakatishi tamaa waliolewa lakini ndo ukweli kuna mambo fulani ya umri wako yatakupita tu hata nguvu zenu zinapishana sana mambo ya miili sidhani kama yanahusika kwenye hii mada kuna watu wana miili mikubwa lakini ukimtazama unajua kabisa ni mtoto wengine miili midogo lakini anaonekana kabisa kakomaa watu huwa tunapenda kudanganyana tu mbona kuna watua wameolewa n amizee inawapa kila kitu lakini wanahangaika kutafuta vijana wenzao wa kuwapoonza
 
I think mwanaume anatakiwa awe amekupita 7-10 years,:glasses-nerdy::tape:
 
hayo mahubiri ni kwa ndoa ya mke mmoja na mume mmoja...


kwa sisi ma polygamists..........age is nothin but a number

tena ni bora mwanaume uwe na mke mmoja alie kuzidi umri ambaye atakusaidia
kukupa ushauri wa busara na kukufanya uwe stable....
hala unakuwa na mwingine au wengine the young ones fo se x and fun..........
 
Kumbe mkuu una wake wengi?
 
Haya mambo ni subjective kwa vitu vingi sana.
 
Umri mzuri wa kupishana ni kuanzia miaka mitatu hadi 15. Katika miaka ya ujana itaonekana kuna difference kubwa ila miaka ya uzeeni itaonekana kawaida. mwanaume akiwa na miaka 70 na mwanamke akiwa na miaka 55, wote wanaonekana wazee tu. Ukomo wa mwanamke kuonekana 'binti' ni miaka 45. Baada ya hapo ni mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…