Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
Are u coming for Edd? Nina korosho zako njoo uje kuongeza kipimo cha hiyo kitu unayorelease
Unaweza kukuta ana release lami au vumbi
D itabidi nijaribu nione kama anarelease vumbi au (RULE NO. 3) Applies
YOU HAVE BEEN WARNED, Hatokaa aione biolojia yake
mwanajamii one uko poa............!
ni kweli umri unamatter sana katika mahusiano kwani kwa ninavyoelewa mimi wanaume huwa na nguvu flani mpaka miaka 80 wakati wanawake hupoteza nguvu na hamu huanzia miaka 45-55,ndio maana siku hizi ndoa nyingi hupata matatizo na kupelekea wanaume kutoka nje kutokana na hili suala la watu kuoana oana tu hata kama wamepitana miaka miwili.
ushauri kwa wanawake.
jitahidi angalau mpenzio akupite miaka kuanzia 10 hadi 25 utayafurahia mapenzi
kimei unamiaka mingapi kwani nikushauri kwa vitendo?
ha ha ha ha we mamie acha tu hiyo miaka ni mingi.......kuna mzee kaoa mke kampita miaka 10 dah masela wanavyo jigongea mzee wa watu hata hajui.....acha kitu inaitwa damu changa....ubakaji wa nini kimei?mwanamke akipishana na mpenziwe miaka hiyo hawezi achika ati maana atakuwa katika nafasi nzuri ya kujifunza mambo mapya yatakayomchanganya mtu wake
kimei unamiaka mingapi kwani nikushauri kwa vitendo?
ha ha ha ha we mamie acha tu hiyo miaka ni mingi.......kuna mzee kaoa mke kampita miaka 10 dah masela wanavyo jigongea mzee wa watu hata hajui.....acha kitu inaitwa damu changa....
BTW.....mzima wewe....long tym not seen...:hippie:
Maeneo ya Usalule uko haujamuona DOVUTWA
nimewaona wapo na Kugwa wanaelekea Tanganyika masagati....Maeneo ya Usalule uko haujamuona DOVUTWA
nimewaona wapo na Kugwa wanaelekea Tanganyika masagati....
mwanajamii one uko poa............!
ni kweli umri unamatter sana katika mahusiano kwani kwa ninavyoelewa mimi wanaume huwa na nguvu flani mpaka miaka 80 wakati wanawake hupoteza nguvu na hamu huanzia miaka 45-55,ndio maana siku hizi ndoa nyingi hupata matatizo na kupelekea wanaume kutoka nje kutokana na hili suala la watu kuoana oana tu hata kama wamepitana miaka miwili.
ushauri kwa wanawake.
jitahidi angalau mpenzio akupite miaka kuanzia 10 hadi 25 utayafurahia mapenzi
ha ha ha ha we mamie acha tu hiyo miaka ni mingi.......kuna mzee kaoa mke kampita miaka 10 dah masela wanavyo jigongea mzee wa watu hata hajui.....acha kitu inaitwa damu changa....
BTW.....mzima wewe....long tym not seen...:hippie:
mwanajamii one uko poa............!
ni kweli umri unamatter sana katika mahusiano kwani kwa ninavyoelewa mimi wanaume huwa na nguvu flani mpaka miaka 80 wakati wanawake hupoteza nguvu na hamu huanzia miaka 45-55,ndio maana siku hizi ndoa nyingi hupata matatizo na kupelekea wanaume kutoka nje kutokana na hili suala la watu kuoana oana tu hata kama wamepitana miaka miwili.
ushauri kwa wanawake.
jitahidi angalau mpenzio akupite miaka kuanzia 10 hadi 25 utayafurahia mapenzi
Aksante saba mydia....................but I think inategemea......I, MJ1 nilipishana naye almost 10 years................ yet I experienced hell.......so I believe and I say again I think Age aint nothing but a number.....mradi kuna penzi la kweli
Mie MJ1 nkikuona na mtu amekuzidi miaka kumi ntakuuliza dada kulikoni labda kama wafuata vingine ati...............
ndo yaleyale ya kufumba macho na kuvuta hisia za John wakati uko na Juma ........:doh:
Mie ndo hapo nasemaga kuishi na mwanamke inataka ujasiri na umakini wa hali ya juu...........Hahaha acha tu kaka unajua sie kina dada huwa tunajidanganya kuwa mtu akikuzidi sana umri anakuwa ameshamaliza maruwe ruwe yote, amesettle na anajua kulea loh.......anayetaka somo anitafute.......mbona nililivua mie pendo...........nadhani inategemea mtu na mtu wajameni