Lazima apingwe... Huyo jamaa ni dictator.. Kama hakutakuwa na watu wenye msimamo.. Ninauhakika ameshaanza kujiwekea mazingira ya umseveni maana ndo marafiki zake!
jukwaa LA picha mbona picha hamna nduguBashe Mbunge wa nzega,Adam Malima,na Joseph kasheku kwako ndani police Centre Dodoma kwa kupigana ndani ya Kikao kupinga agenda ya fukuzafukuza,na agenda ya mtukufu kupitishwa bila kupingwa 2020