hi
mjini dodoma wapi pa kusafisha macho na kuburudika jioni ya jumamosi kama leo.
maoni plz
thanks Asakuta samekapige msosi matei lounge pale area D..............
ukitoka hapo kapige maji master pu , au anzia hapo hapo matei lounge.........
hlf mida fulani jongea maisha club au club 84 ukaangalie viuno vya wanachuo..........