VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Bawacha at workWajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM wameanza kuwasili hapa Dodoma. Wako tayari kwa mkutano wa Jumamosi ijayo wenye ajenda ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama Taifa.
Wajumbe hao sasa wanajipanga kuisimamia katiba ya CCM na kuhakikisha inafuatwa katika kipindi chote cha mkutano huo. Wajumbe hao wamesisitiza bila kuliza kuwa Mwenyekiti anapaswa kuchaguliwa badala ya kukabidhiwa.
Wameshapangwa wachokoza mada kikaoni. Wameshajipanga kuanzia wale wa Kamati Kuu,Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu. Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu vitaanza. Maandalizi yameshakamilika. Kaeni mkao wa kula!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Mkuu, unatonesha majeraha ya watu yaliyoanza kupona. Wakati ule tuliokuwa tunampinga Lowasa tulionekana wabaya. This time again tunaotaka JPM awe mwenyekiti wetu tunaonekana wabaya. Uzuri ni kwamba ni sisi ndio siku zote tunaibuka washindiHakatwi mtu hapa. Ilikuwa usemi maarufu wakati ule. Sasa limekuja la kufuata katiba wakati huo umeishakuwa ni utamaduni wa CCM kukabidhiana kijiti.
Hakatwi mtu mwishowe iliyeyuka na akakatwa na mengine sasa ni historia. Kwa mwenendo huo, kijiti kitakadhibiwa bila ajizi.
Umemshtukia eeeeh. Halafu eti anajiita mzeeBawacha at work
Hebu tuwe wa wazi katiba gani ili tumika kumpa mwanachama mwenye umri wa siku 3 ndani ya chama kugombea Urais?Kwa upande wetu katiba haina nguvu yeyote kwenye kumpata MWENYEKITI ndiyo maana tanakabidhi tu hakuna mambo ya kuchaguana hapa. Atakayepewa / kukabidhiwa anatosha kabisa.
Wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM wameanza kuwasili hapa Dodoma. Wako tayari kwa mkutano wa Jumamosi ijayo wenye ajenda ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama Taifa.
Wajumbe hao sasa wanajipanga kuisimamia katiba ya CCM na kuhakikisha inafuatwa katika kipindi chote cha mkutano huo. Wajumbe hao wamesisitiza bila kuliza kuwa Mwenyekiti anapaswa kuchaguliwa badala ya kukabidhiwa.
Wameshapangwa wachokoza mada kikaoni. Wameshajipanga kuanzia wale wa Kamati Kuu,Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu. Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu vitaanza. Maandalizi yameshakamilika. Kaeni mkao wa kula!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Huyu ni Bavicha ana id yake verified humu na ni mwanasheriaKuna watu wanaiombea mabaya CCM aisee. Bahati mbaya mabaya yanawakuta wao. Mzee Tupatupa jitokeze kwa rangi yako halisi. Wewe ni mmoja wa wwle wanaoendesha mkakati ili JPM asiwe Mwenyekiti. Mmedhibitiwa
Swali hilo hutapata majibuHebu tuwe wa wazi katiba gani ili tumika kumpa mwanachama mwenye umri wa siku 3 ndani ya chama kugombea Urais?
Mwambie amsalimie bavicha mwenzie Petro MselewaHuyu ni Bavicha ana id yake verified humu na ni mwanasheria
Ina maana hata cheo cha DAS umetoswa? Au vyeti vyako magumashi?Hebu tuwe wa wazi katiba gani ili tumika kumpa mwanachama mwenye umri wa siku 3 ndani ya chama kugombea Urais?
Hahahaha Salamu zimemfikia lazima azifikishe hata mimi ngoja nimpigie simu nili mmisiMwambie amsalimie bavicha mwenzie Petro Mselewa