VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM wameanza kuwasili hapa Dodoma. Wako tayari kwa mkutano wa Jumamosi ijayo wenye ajenda ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama Taifa.
Wajumbe hao sasa wanajipanga kuisimamia katiba ya CCM na kuhakikisha inafuatwa katika kipindi chote cha mkutano huo. Wajumbe hao wamesisitiza bila kuliza kuwa Mwenyekiti anapaswa kuchaguliwa badala ya kukabidhiwa.
Wameshapangwa wachokoza mada kikaoni. Wameshajipanga kuanzia wale wa Kamati Kuu,Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu. Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu vitaanza. Maandalizi yameshakamilika. Kaeni mkao wa kula!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)