Ulyachi!Kwani Wagogo wanasemaje kuhusu hili.?
Ukute alikua na % yake, Mama kastukiaEm fafanua vizuri...ndo ile ringroad ilokuwa ikipigiwa chapuo na hayati!??
Awamu ya sita, tunatarajia miradi mungu ya awamu ya Tano itasimamishwa au kufutwa.
Hee...kumbe nayo ilikuwa bado?Mambo yenyewe kumbe ni plan ya round about...mambo yaliyopitwa na wakati katika kiasi cha kwamba kitaalamu, baada ya muda mfupi wa mji kukuwa kwa traffic ingebidi tena wabomoe na kuweka kureplace na interchange/flyover etc... kwa mipango mingi ya sasa labda tujaribu kuangalia long term positive effects,na sio kufanya na kupoteza pesa kwa projects, ambazo zitahitaji kufanyiwa tena review reconstruction, within a short period of time,na wakati huo labda utakuta tutakuwa hatuna uhakika wa kuwa na pesa nyingine kwa ajili ya miradi hiyo.Any way,siku zote, kupanga ni kuchagua....
Wameandika ni ''ring road''. Ring road siyo round about ila ni barabara (highway) ya mzunguko kwenye mji.Mambo yenyewe kumbe ni plan ya round about...mambo yaliyopitwa na wakati katika kiasi cha kwamba kitaalamu, baada ya muda mfupi wa mji kukuwa kwa traffic ingebidi tena wabomoe na kuweka kureplace na interchange/flyover etc... kwa mipango mingi ya sasa labda tujaribu kuangalia long term positive effects,na sio kufanya na kupoteza pesa kwa projects, ambazo zitahitaji kufanyiwa tena review reconstruction, within a short period of time,na wakati huo labda utakuta tutakuwa hatuna uhakika wa kuwa na pesa nyingine kwa ajili ya miradi hiyo.Any way,siku zote, kupanga ni kuchagua....
Na wewe unazidisha kumpinga, je, ulimtaka akakukataa?Mwendazake alijua kuwatapeli watu washamba washamba hapo angejenga ka-round about halafu siku ya ufunguzi angealika hadi BBC waje waone maajabu ya shujaa wa Africa.
MAENDELEO NI WATU SIO VITU.
MATAGA jenga hoja acha matusi. Huamini kuwa Magofool kashaoza?Na wewe unazidisha kumpinga, je, ulimtaka akakukataa?
Naona siku hizi una uhanga si wa nchi hii, lakini machadema si rijali ujueMATAGA jenga hoja acha matusi. Huamini kuwa Magofool kashaoza?
Heshimuni watu haya maisha ni mafupi sana!.