Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
Iliposemekana kuwa serikali itahamia Dodoma watu walitoa sababu nyingi za msingi za uzuri wa kuhamia Dodoma, kiusalama na kiuchumi.
Lakini naona ni baadhi tu ya Wizara zimehamia Dodoma huku wakubwa wakibaki Dar. Na nakumbuka kipindi kile kulikwa na kasi sana ya kuhamia kule, je zilikuwa nguvu za soda?
Kama kila movement inakwenda na kufa tutaamini vipi vitu vingine?
Tutahamia Dodoma au hadi muhula ujao?
Mihanyenyi