Kwahiyo kwa akili zako za matakoni unataka wawe positive katika hili!?Hilo lilitarajiwa. They are always negative
Wewe ulitaka visemeje!?Vyombo vya nje havinaga habari njema kwa Afrika
image ya nchi inaharibiwa na hawa waalifu waliofanya hili shambulio, nimeona amnesty, bbc, new york times, aljazeera etc...hii sio picha nzuri, haya sio mambo yetu kabisa.
We ni fala mbwa weweWewe ni mpumbavu kama uyo dikteta uchwara.
heri uwe mjinga kuliko kuwa mpumbavu.
Aiseeetukiwa tunamuombea Lissu, tuombee na watu wa aina yako, this is too dangerous ukipata mtu anaejali chama kuliko uhaiHamtutoi kwenye swala la madini? Hizi ni mbinu zinazo tumiwa na maadui wa hii nchi.
Wakati mwingine kwenye mambo serious inafaa kuuficha kidogo ujingaHuko huko hosptali ndio tamaliziwa vizuri...
but nahisi hii ni kiki ya CHADEMA baada ya kuona Magufuli kawafunik na issue ya report ya bunge
......Kuna mtu humu anaitwa WABERAYO, uwe unabakisha akiba ya maneno.
"Lissu bana, sniper wanafanya kazi gani? au wanamuogopa yeye nani? akiuawa raia gani atafanya nini kwa nchi hii ya Tanzania?....
Lissu ana nini cha kufuatiliw? kawakaba kuwa na yeye ana wataalamu wa usalama? au anataka aonyeshe picha gani?
Lissu..."
Hio ni quote ya text uliandika August 18 2017, nadhani mpaka leo bado unakumbuka.