Dodoma tunakuja kuwashika sasa

Kweli huo uhamisho balaa,hadi mh kitwanga naye ndani ya nyumba😀😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nasikia eti na mkuu wa mkoa wa Dar atahamia Dodoma atatoa maelekezo kutokea huko
 
Mtaa wa Ufipa ikifika 2020 hawajahamia Dom hawatapewa Ruzuku
 
Ubunifu wa Watanzania unatisha, ingekuwa hivi hata kwenye maendeleo tungekuwa mbali....mtu anakaa na kufikiria katuni ya aina hii, lakini hatuwezi kubuni mikakati ya kuleta maendeleo...tehtehtehtehteh
Mkuu kwani we ni mgeni nchi hii?huo ubunifu wako utampelekea nani aukubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…