Watu humu ndani mnamatani na Majaliwa na Nape.
Iyo kali ayseeNasikia eti na mkuu wa mkoa wa Dar atahamia Dodoma atatoa maelekezo kutokea huko
Mkuu kwani we ni mgeni nchi hii?huo ubunifu wako utampelekea nani aukubali?Ubunifu wa Watanzania unatisha, ingekuwa hivi hata kwenye maendeleo tungekuwa mbali....mtu anakaa na kufikiria katuni ya aina hii, lakini hatuwezi kubuni mikakati ya kuleta maendeleo...tehtehtehtehteh