Dodoma to iringa via nyang'olo!

Dodoma to iringa via nyang'olo!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
620
Reaction score
282
Lool! ratiba yangu wiki ya kuanzia Tarehe 3/6 itakwa hivi: Tarehe 3 nitasafiri kutoka Tanga kuelekea Dodoma, Kwaherini Wana JF -Tanga wing, Hodihodi Jf Dom wing kama mpo. Natamani kuwa mjengoni tarehe 4 kusikiliza kelele za wazee. Natamani kuwepo pale Nyerere Square kuanzia saa 10 jioni niweze kusalimiana na Baba Wa Taifa. Najua hata ile sanamu yake pia inawakilisha uwepo wake.Tarehe tano nitaagana nanyi wana Dom wing na nitatamani sana kupita mlima Nyang'olo. ntapenda sana kula Samaki wa Mtera. Pia ntaipanda Nyan'golo na nitaingia kwa Wana JF-Iringa Wing.Nasikia siku hizi barabara ni nzuri na magari ya abiria yameongezeka. Mara ya Mwisho kpita njia hiyo nilitoa rushwa kwa Konda ili nipate nafasi kwenye basi la King Cross. Sijui ntawakuta wana Jf Iringa Wing?. Ntakuja na kahawa, halwa na tende kidogo kama zawadi. Pia kama mtapenda Pweza, papa, ngisi na Jodari ntajitahidi kwaletea angalau kwenye mfuko wa plastiki. Mungu ibariki safari yangu....Amin!
 
Kumbe hujui kwamba nimemtumi Israel aje kwako leo usiku.
 
Back
Top Bottom