Dodoma si salama

Dodoma si salama

Tareeq

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2010
Posts
828
Reaction score
408
upload_2016-9-23_19-15-24.jpeg

Leo hii nimepita Dodoma ,pale ilipokuwa Kituo cha Scandinavia Express nimekuta uchafu huu ukiwa umetupwa hapo , Nywele zilinisismka na jasho likanitoka , si peke yangu nadhani kila aliyeona Sindano za kushonea watu, Nyembe za kufanyia upasuaji , mabomba ya sindano yaliyotumika na mengine yakiwa na majimaji yanayofanana rangi mithili ya damu ma kasha la kuhifadhia mabomba likiwa kando yake !!!!! UWAPI usalama wa Binaadamu hawa , sijui watakuwa watoto au watu wazima , Nikajiuliza Kuna kituo cha huduma jirani na Stand hii , hivi hizi takataka zitakuwa zimetoka wapi Hospitali Kuu? kituo cha Afya Makole? au doooooo wakuuu sijui
 
View attachment 405707

Back
Top Bottom