Dodoma ni kutamu jamani

Pisi kali Dom zitoke wapi? Hata pisi za vyuo wenyewe wa kawaida, na washambaa.

Em tuache bhana.
😆😆Umewahi kuwasikia wasandawe, warangi na wanyambwa a.k.a wagogo wa manyoni ni weupe wa asili sura zinang'aa wapo natural sio kama wa huku Dar waliojichubua 😂
 
Wale omba omba wa dom bado wapo au wazazi kutuma watoto wakaombe pesa.
 
😆😆Umewahi kuwasikia wasandawe, warangi na wanyambwa a.k.a wagogo wa manyoni ni weupe wa asili sura zinang'aa wapo natural sio kama wa huku Dar waliojichubua 😂
Afu wa dar vidole vyao kama ndizi za kuchoma.....mkorogo umewakataaa
 
Unabisha picha imeandikwa "enjoy 5 star experience" wewe unagoogle😆😆 kusoma hujui hata picha huoni
Rating ya Hotel sio kwa bango, hiyo hata wewe unaweza kujiandikia tu. Hotel ratings sio kama unavyodhani kwenye guest house kuandika self contained au full AC. Jifunze ili usiabike siku za mbele
 
Ndio maana nasema washamba ndio wanaona dar wamefika kama wewe , Sasa kumbe waliopo mikoani na ambao hawaishi dar unaona maisha maisha yamewashinda , sikia siwezi sema mengi dar mimi Nina mijengo yg mitatu mmoja salasala madukani nyingine ipo hapo jirani goba center pale lound about ya kwenda mlimani city upande wa kushoto jirani na msikiti uliza kwa Mzee msuri ni mrangi huyo Mzee ambae ni mjumbe hupo ni jirani yg pia nyingine ipo goms nyuma ya michongomani ni hatua kumi na Tano kufika stand ya goms , Sasa we wa kuja utaniambia nini
 
Rating ya Hotel sio kwa bango, hiyo hata wewe unaweza kujiandikia tu. Hotel ratings sio kama unavyodhani kwenye guest house kuandika self contained au full AC. Jifunze ili usiabike siku za mbele
Hawawezi andika kitu sicho acha chuki
 
Hapo kwenye pisi nakuunga mkono
 
Umewahi kuwasikia wasandawe, warangi na wanyambwa a.k.a wagogo wa manyoni ni weupe wa asili sura zinang'aa wapo natural sio kama wa huku Dar waliojichubua
Wako Bombaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…