NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,001
- 21,297
Home sweet home!!Habari zenu WanaJF mko poa kabisa,
Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,
Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.
Nilianza na upande wa biashara kuko vizuri sana pamechangamka mno pia Kuna fulsa zaidi ya 1000
Pili wenyeji wa huku ni watu wakarimu sana pia ushirikina upo kwa asilimia 5 tu hasaa Hawa warangi na wachaga ndio watundu mno wa ushilikina hapa jijini.
Dodoma hakuna chuma ulete, Dodoma hakuna ujambazi nilishawai fanya biashara pale tegeta nyuki Dar aisee waha pale ni chuma ulete wa kutisha utadhani wote mganga wao mmoja ila kwa dodoma hio hakuna
Jambo linguine nililopendea dodoma bei zao za vitu kwa Sasa hazitofautiani na dar , kwa mfano TV nchi 32 huku ni laki mbili na kumi, vyakula bei ni nzuri, hotel bei ni nzur unapewa na pisi Kali za bule ukibisha njoo bobo nikuelekeze
Pia bar za dodoma ni full vibe aiseee Kila siku ni Bata tu
Changamoto ni ndogo zaidi kwa mfano vumbi na jua Kali mchana ila ikifika usiku nyuzi joto hufika 13 tu Hadi 10 yaani panakua na baridi kalii
Pia kwa upande wa mambo yetu yaleeee pisi kaliii zimejaa watoto wa kimbulu watoto wa kateshii manyara na warangi pia Kuna wasukuma wahaya Kila aina za pisi zimetoka Arusha dar wamejazana mno Dodoma, pia pale mjini Pana vyuo zaidi ya 20 aiseee dodoma imependelewa vyuo ni vingiii mno.
Kuna siku nilikua MAENEO ya general pale watoto wa chuo ni wakali visuu vinashindia mihogo kubana pesa ya bum
Kwa hio ukiwa dodoma kitendo Cha kutaka pisi ya kuitafuna ni kitendo cha dkk chache tu Tena sio wa kujiuza huku pisi za kutosha
Upande wa majengo malefu yanayojengwa ni hataki, huku midude inajengwa kila kukicha
Pia Kuna arena inajengwa kimyakimya aisee huku mama Samia kaamua kuitemgeneza dodoma pongezi kwake ni hayo tu.
Karibuni dodoma kalibuni muone uzuri wa Jiji wenye chuki mjinyonge
Hiyo sio 5 Star acha kudanganywa. Hamna 5 Star Hotel Dodoma labda wa-upgrade napo itachukua muda, maana hii ilikuaga 3 Star labda wapande hadi 4Acha uongo eti 3 stars hotel ndio mwisho😀😀 .....Bestern Western City Hotel ni 5 star hotel
Tena aende kwa wajasi wa Humanities kwa chini ivo... Ndio hatarudi alipotoka kabisa mixer mbwambwa za kigogo[emoji848][emoji848]Usisahau kwenda udom na nongona na ujasi kuna msosi bei chee
Nipe majina kama unavikumbuka ntavitembeleaAisee mkuu Kuna machimbo ni hatalii ukiwa Dom tafuta mtu wa bajaji pale mjini kati mwambie akutembeze viwanja vipya utakuja nishukuru
Huenda hawaoni cha kuiba. Kama kikiwepo watakujaKatika majiji yote Afrika Mashariki na Kati Dodoma inaongoza kwa usalama wa hali ya juu....sijawahi kusikia tukio lolote kubwa la ujambazi kwamfano uvamizi wa benki
Bambalaga , na chako ni chako Texas viko vingi mno ukienda makole ndio utachokaNipe majina kama unavikumbuka ntavitembelea
Akili yko ndio imeishia hapo , jua usalama ukiwa mkubwa hata wezi wanaogopa tatizo vichwa maji ni wengi mno , kwa mfano ikulu ulishawai sikia majambazi wameiba na ndo kwenye hazina ya taifa , Ina maana wezi hawaoni ?Huenda hawaoni cha kuiba. Kama kikiwepo watakuja
Bambalaga siku hizi imepoa sana nilienda nikarudi tu rainbow. Huko kwingine ntapita nibadili mazingira kama si mbali maana huwa napendelea jirani na Hotel ninayofikiaBambalaga , na chako ni chako Texas viko vingi mno ukienda makole ndio utachoka
Kwa akili yako ikulu jambazi ataiba niniAkili yko ndio imeishia hapo , jua usalama ukiwa mkubwa hata wezi wanaogopa tatizo vichwa maji ni wengi mno , kwa mfano ikulu ulishawai sikia majambazi wameiba na ndo kwenye hazina ya taifa , Ina maana wezi hawaoni ?
Akili yko ndio imeishia hapo , jua usalama ukiwa mkubwa hata wezi wanaogopa tatizo vichwa maji ni wengi mno , kwa mfano ikulu ulishawai sikia majambazi wameiba na ndo kwenye hazina ya taifa , Ina maana wezi hawaoni ?Huenda hawaoni cha kuiba. Kama kikiwepo watakuja
Huna akili kweli unazani pesa alizokua anagawa jiwe alizitoa kwenuKwa akili yako ikulu jambazi ataiba nini
Sio poa watoto wa chuo ni nomaaaBambalaga siku hizi imepoa sana nilienda nikarudi tu rainbow. Huko kwingine ntapita nibadili mazingira kama si mbali maana huwa napendelea jirani na Hotel ninayofikia
Sawa mwenye akili. Ikulu kuna mihela imejaa kila konaHuna akili kweli unazani pesa alizokua anagawa jiwe alizitoa kwenu
Pangekua hamna pesa pale wasingemwaga damu kuipata ikulu , Duniani kote mkuuSawa mwenye akili. Ikulu kuna mihela imejaa kila kona
Zinajengwa nyingi tu we subili ndani ya miaka miwiliHiyo sio 5 Star acha kudanganywa. Hamna 5 Star Hotel Dodoma labda wa-upgrade napo itachukua muda, maana hii ilikuaga 3 Star labda wapande hadi 4
Umasikini kote tz upo , ila unazidiana mkuu , Hadi nchi zilizoendelea , ni ngumu kumefanya mtu wa kijijini kuwa kama wa mjini , ila utakuta mtu wa mjini hakuna anachomiliki , umkute mtu kapanga chumba kajaza fenicha isiwe tikert ya kumuita mtu mwenye mifugo kijijini ni maskiniSehemu ndogo sana dodoma ndo ipo vizuri majority ya wakaz wa dodoma wanaishi terribly. Sababu ya Lindi la umasikini.