Dodoma ni kutamu jamani

Kabisaa mkuu Cha muhimu wale wageni wa Jiji dar kule ndio wanaona pa maana , mimi nina nyumba tatu dar ikiwemo goba salasala na goms lakini siwezi ishi huko dar, kabisaa
Huo ushamba wakukimbilia na kuona Dar ndio kila kitu umepitwa na muda nmewahi kuishi Dar miaka 2 na hapajanitoa ushamba ety nione ni bonge la mji ,I feel safe in Dodoma.
 
Huo ushamba wakukimbilia na kuona Dar ndio kila kitu umepitwa na muda nmewahi kuishi Dar miaka 2 na hapajanitoa ushamba ety nione ni bonge la mji ,I feel safe in Dodoma.
Mtu anajiona mjanja kuangalia magari ya wanaume wenzie na migorofa ya kaliakoo nae Hana kajibanza kwenye chumba Cha kupanga kule kwa mtogore , huo ni uchoko fulsa zipo nyingi nje ya dar Kuna vijana wanatajirika Kila kukicha mikoani
 
Acha uongo eti 3 stars hotel ndio mwisho😀😀 .....Bestern Western City Hotel ni 5 star hotel
 

Attachments

  • 20230721_120751.jpg
    621.8 KB · Views: 27
Hio ni kawaida hata mini mingi mikubwa hua Iko hivo , sio kwamba dar ndio kutamu hapana , kwa joto la dar aisee ule mji siuwezi siku Moja nipo kwenye gari maeneo ya daraja la kijazi Ile halufu iliokuwepo pale sijawai isikia dar kuchafu mno
Kama darajani kwa kijazi pananuka vipi kivukoni ferry? Ila Dar es salaam ni dream ya kila mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…