Dodoma: Ndege yatumia Barabara ya Magari, watu wataharuki

Dodoma: Ndege yatumia Barabara ya Magari, watu wataharuki

b013f75d22cd187f9e923fab752252de.jpg

Kaka barafu ni Antonov hiyo?
 
Hiyo ni ndege ya Jeshi na ya siku nyingi sana kwasababu ina namba zinazoanza na JW na ilikuwa katika karakana ya ndege ya uwanja wa ndege wa Dodoma.

Ndege hiyo inaonekana ilikuwa Uwanja wa Ndege wa hapa Dodoma kwa muda mrefu na ni wazi si nzima na leo imevutwa na treka kutoka kwenye uwanja huo na kupekekwa sehemu ambayo tulioshuhudia tulikuwa hatujui inavutwa na treka hilo kupelekwa wapi kwahiyo hakuna ndege iliyoanguka wala kutua barabarani.

Ndege imevutwa kutoka kwenye karakana na kutolewa nje ya uwanja wa ndege wa hapa Dodoma.

IMG_6389.JPG


1494523251276.jpg
 
Ndege ilikua inaishiwa mafuta so aka atempt emegency landing na ikafanikiwa by the way wale wa ethiopia walisema kwao kuna viwanja vidogo kuliko ule wa kisongo arusha na wanatua kila siku ndio mana waliita wataalam wao wakabadili setting za ndege na ikafanikiwa kupaa


Waliwaduwaza wengi kwa kuiinua ile ndege in less than 1500 m Gonga hapa
 
Ule uwanja umeongezwa kimagumashi tu..marubani wanasumbuka sana
Ni vitu vya kawaida kabisa, ilinitokea uko Miami, badala ya kutumia uwanjani tulitua barabarani kwa sababu ya technical fault.
 
jmn mtasutwa hiyo ni sehemu ya uwanja wandege na eneo hilo awali daladala za AREA D zilikuwa zinapita hapo ila baada ya kupanuliwa eneo lilifungwa na kuwa mali ya uwanja wandege.

so hapo ni uwanjani kabisa.

na wew uliepost acha ushilawadu.
 
jmn mtasutwa hiyo ni sehemu ya uwanja wandege na eneo hilo awali daladala za AREA D zilikuwa zinapita hapo ila baada ya kupanuliwa eneo lilifungwa na kuwa mali ya uwanja wandege.

so hapo ni uwanjani kabisa.

na wew uliepost acha ushilawadu.
Trekta ni la nini...
 
Back
Top Bottom