PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,264
Mkuu kwahiyo kijana huyo huwa hajihusishi na hayo magenge?Huyo dogo namfaham kindakindaki. Hii issue wamepewa tena kwa kuforce. Dogo alikuwa ametoka kula mida ya saa moja jamaa wakamkamata wakampeleka central, bila maelezo wakawekwa ndani asubuh yake wakapelekwa kwa RPC.