Dodoma mjini wakosa mbunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dodoma mjini wakosa mbunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGOWILE, Dec 6, 2011.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimepita maeneo mbalimbali ya dodoma mjini kuhoji watu kuhusu utendaji kazi wa mbunge wao mh.malole kupitia ccm na nimehoji wato 97 katika watu hao watu 73 wanasema mbunge wao hafanyin lolote tangu alipochaguliwa ni bora wangekaa bila mbunge kwani hana faida kwao.watu 21 niliowahoji katika kitongoji cha njedengwa palipobomolewa nyumba siku chache zilizopita wamesema mbunge waliemchagua hakuonekana kabisa katika kuwasaidia wananchi wake tofauti na ahadi zake wakati wa kampeni kwamba angekuwa pamoja na wananchi hasa katika wakati wa shida.
  Naomba kuwasilisha jamvini kwa wadau.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Kama Kitongoji cha Ndejengwa peke yake umewahoji watu 21 kati ya 97, nina mashaka na utafiti wako!
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,051
  Likes Received: 3,802
  Trophy Points: 280
  Si Dodoma tu majimbo mengi "hayana" wabunge
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Kama Jimbo la Arumeru Mashariki halijawahi kuwa na Mbunge tokea Uchaguzi!
  Arumeru Magharibi ndiyo hakuna mbunge kabisa, yaani ni afadhali ya Arumeru Mashariki ambayo haina mbunge kuliko Ole Medeye.
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Bora mbunge wetu Moro anatembelea hata hospital zenye viti vibovu
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Kwani uchaguzi wa wenyeviti wa vitogoji ni lini maana ndiyo mwanzo wa serikali kama mkiwa na serikali za mitaa imara hata diwani na mbunge atafanya kiru cha maana.............
   
 7. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Labda ametingwa zaidi na majukumu katika shule yake ya sekondari ya CITY.
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,792
  Likes Received: 1,581
  Trophy Points: 280

  Kuna biasness kwenye sample yake. Dodoma ina vitongoji vingi sasa kuchukua asilimia 21 kutoka sehemu moja hiyo haiwezi kuwa representative sample. Inaweza ikawa kweli watu wana maoni hayo lakini utafiti huu hauwezi kuwa scientifically acceptable. I rest my case.
   
 9. s

  semako Senior Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DODOMA hawabebeki
   
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,394
  Likes Received: 1,549
  Trophy Points: 280
  Mleta thread ni m-mbea na mvivu wa kufikiri. Siajabu ana wivu wa kike!
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Ameshatoka City secondary siku nyingi sana. Currently inaongozwa na watoto wake. Acha majungu kijana
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ukistaajabu ya Dodoma utayaona ya Iramba mashariki. 2015 hot!
   
 13. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,681
  Likes Received: 639
  Trophy Points: 280
  ni Njedengwa (Manyani).
   
 14. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 639
  Trophy Points: 280
  Yaani Arumeru Mashariki wote wehu hata wa CDM Ole Kisambu si inasemekana alikula mlungula ili ashindwe
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  La huu utafiti wako nini ?
   
 16. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,601
  Likes Received: 8,392
  Trophy Points: 280
  Mkuu, tafsiri yako si sahihi, njedengwa = ngedere
   
 17. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,302
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  dodoma kweli hakuna mbunge hapa,tuna kilaza tu mkubwa anaitwa maloleeeeeeeeeee!
   
 18. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,044
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 180


  Arumeru mashariki CDM alikuwa ni Nassary na sio huyo ulemtaja. Na hakupewa mlungula kuachia jimbo, hoji vizuri utajua CCM ilipita pitaje na kwanini mbunge hawezi kwendi Dodoma zaidi ya kwenye misiba Akheri kijijini
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Yaani mitanzania tutalalamika sana miaka hii mitano...tatizo ni miakili yetu ya kuchagua wezi...inauma,lakini wakati mwingine inaboa...
   
 20. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  dodoma mjini haijawahi kuwa na mbunge katika miaka 50 ya uhuru wa tanganyika na haitakaa ipate mbunge kwa sababu ya akili za wagogo.
  mikoa tanzania ambayo haina wapinzani ni tabora na dodoma na ndio mikoa masikini zaidi tanganyika.
  dodoma acha wapigwe mabomu na kuuwawa na ccm kwani ndicho kiapo walichokula,malole hana kosa kwani alijua akili za wagogo wenzake ndo maana akagombea,alimshinda kimbisa kwa sababu za kikabila tu lakini mzee kimbisa ana afadhali kuliko huyu malole.
   
Loading...