Dodoma mji usio na madhari ya kuvutia

Dodoma mji usio na madhari ya kuvutia

dar hapafananishwi na mahali popote Tanzania... dar panapimwa na nairobi, lusaka, harare, jo burg etc
Dar tatizo uchafu mwingi haiwezekani jiji linanuka hovyo tu makazi hovyo hovyo slums katikati ya jiji sheeet..... Huezi compare na j burg for sure its insane
 
Subiri mwezi wa nane ufike alafu kapige picha uko dodomya uone
 
yaani utoke dar ukakae dodoma.. hapo ni lazima mwajiri akulazimishe.. ila hivi hivi haiwezekani.. uache tibiwa muhimbili au agakhan ukatibiwe udom.. uache kucheza mziki next door au tips ukacheze dodoma maisha club.. mtoto atoke feza aende shule dodoma....
kweli kabisa mkuu, mtu huwezi acha demu geto afu uende kupiga nyeto
 
Mara yangu ya kwanza kufika dodoma sikuamini macho yangu, yaani stand kuu ya mkoa ya kipindi hicho ilikuwa ni kama kijiwe cha shoe shine, nilichoka. Sio mbali sana ni mwaka 2011 tu hapo.
Ila sasa hivi angalau mambo mswano, ingawa maeneo ya wilayani bado zipo nyuma.
 
Back
Top Bottom