Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,830
- 105,067
Ikulu ya Dar es Salaam imejengwa lini? Ukijibu kajifiche kwenye pagale!Tena jengo lenyewe limejengwa toka enzi za nabii NUHU[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ikulu ya Dar es Salaam imejengwa lini? Ukijibu kajifiche kwenye pagale!Tena jengo lenyewe limejengwa toka enzi za nabii NUHU[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mwanaume kutamka wow ni dalili ya ushogaWow! Now Dodoma looks green. Nakumbuka makamu wa Rais alizindua kampeni ya kupanda miti na kuifanya Dodoma iwe ya kijani. Niliibeza kampeni yake kimoyo moyo nikijisemea ni ngumu kwa jangwa kuwa la kijani but now its coming. Here it is, a greenish Dodoma.
Astaghifilullah!Mwanaume kutamka wow ni dalili ya ushoga
Dah! Labda kwa kilugha chenu jomon!Mwanaume kutamka wow ni dalili ya ushoga
Confirmed!Dah! Labda kwa kilugha chenu jomon!
Hahahahah this is so mean Kiranga! [emoji23][emoji23]Hilo bunge ndio kabisa linaonekana kama an ancient abandoned alien spaceship,a gargantuan grey monstrosity.
Ni kwa ajili ya mvua tu....Dodoma bado ni Jangwa tu kiasili.Wow! Now Dodoma looks green. Nakumbuka makamu wa Rais alizindua kampeni ya kupanda miti na kuifanya Dodoma iwe ya kijani. Niliibeza kampeni yake kimoyo moyo nikijisemea ni ngumu kwa jangwa kuwa la kijani but now its coming. Here it is, a greenish Dodoma.
Uchochezi huo-o-o shauri yakoWengi huwa wanaenda dodoma kwa sababu maalum tu sio kwamba ni mji unaovutia sana hapana View attachment 727747View attachment 727749View attachment 727754View attachment 727758
hahahahaa!!! kiranga..comment yako inanifanya nirudi shuleHilo bunge ndio kabisa linaonekana kama an ancient abandoned alien spaceship,a gargantuan grey monstrosity.
hahaha... Khaaa!!!Hilo bunge ndio kabisa linaonekana kama an ancient abandoned alien spaceship,a gargantuan grey monstrosity.
Hahahah jowzey wacha zako basi, asubuhi yote hiii!!!Mwanaume kutamka wow ni dalili ya ushoga
Naona mkuu umerejea, kitambo sana.Hilo bunge ndio kabisa linaonekana kama an ancient abandoned alien spaceship,a gargantuan grey monstrosity.
Dah nikajua tayari wadukuzi wamedukua id yanguHahahahah this is so mean Kiranga! [emoji23][emoji23]
Why mkuu...Dah nikajua tayari wadukuzi wamedukua id yangu
Ngoja nije chumbani nina mazungumzo nawe bintiWhy mkuu...
Umenena Kwel mkuuWengi huwa wanaenda dodoma kwa sababu maalum tu sio kwamba ni mji unaovutia sana hapana View attachment 727747View attachment 727749View attachment 727754View attachment 727758
Sure mkuu kipindi cha masika panakuwa kijana ila kiangazi sasa, pakavu halafu vumbi + upepo sio kitoto mzeeDodoma kukinyesha mvua mbona huwa kwa kijani sana mkuu...subiria mwezi nane au 9 hivi ....
hiyo kampeni ni nzuri ila matokeo yake hayawezi kuja kwa muda mfupi hivyo
Duh mkuu hicho kingereza au [emoji23][emoji23][emoji23]Hilo bunge ndio kabisa linaonekana kama an ancient abandoned alien spaceship,a gargantuan grey monstrosity.