Habari za jioni wana jukwaa nimefikaa dodoma jioni hii kwaio nilikua na uliza Kwa wale wenyeji kuwa niingie mitaa ipi ili nami nifurahie kama mwanaume halisi
Area C - ROSE GARDEN kuna mizigo ya kufamtu,(mis bantu wakumwaga,mis ulaya usisema,Haswa kuna number moja black ndefu ya kichaga ina virasta bubu weeeee acha kaka Hebu tia miguu ujionee
Area C - ROSE GARDEN kuna mizigo ya kufamtu,(mis bantu wakumwaga,mis ulaya usisema,Haswa kuna number moja black ndefu ya kichaga ina virasta bubu weeeee acha kaka Hebu tia miguu ujionee
Nipo ndani ya Rose Garden hapa namtafuta huyo bibi ya chuga, kisha nichomoke kuelekea Club Lazizz kwa live band ya SAKI STARS pale nikamkute Kachoka na Yamodo wanikoshe mtima kwa nyimbo za wahenga.....
Nipo ndani ya Rose Garden hapa namtafuta huyo bibi ya chuga, kisha nichomoke kuelekea Club Lazizz kwa live band ya SAKI STARS pale nikamkute Kuchoka na Yamodo wanikoshe mtima kwa nyimbo za wahenga.....