Hapo veyula akifka Mwambie aje kututembelea huku makutupora. Aje tumuoneshe sehemu ya kujidai.angalizo!mwambie awe na nguvu kidogoChadulu,chamwino,ihumwa,veyula,nara n.k
Nyerere square jombaa!!
Keko kuna wale wa buku tano karibu sana
Dodoma palivyo pabaaaaaayaa heri ulale hotelini ucheki series
Wadodoma msikasirike lakini ndio ukweli
Dodoma palivyo pabaaaaaayaa heri ulale hotelini ucheki series
Wadodoma msikasirike lakini ndio ukweli
Pale wagogo ndo wanaendaga kupiga picha kwenye mauaNyerere square