Dodoma Leo: Kwani CCM, UKAWA mmejipangaje?

Wapinzani wamejipambanua kama wao ni maadui wa serikali...CCM walijitahidi katika kipindi kilichopita kuwakaribisha kundini kwa moyo mkunjufu... Raisi Kikwete....alitoa nafasi za ubunge kwa wanachama wa vyama vya upinzani....lakini angalia lugha na vijitabia vya hao watu waliopewa fursa hizo...wanaongoza kwa lugha za kejeli..... wapinzani walipewa hadi uongozi kwenye kamati za bunge... wapinzani walipewa nafasi ya kurekebisha Katiba iliyopo..... TUMEJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA SASA TUNATAMBUA NIA NA LENGO ZA WAPINZANI KUWA NI MAADUI NA SISI TUNASEMA .....THIS TIME NI VITA NI VITA!!!

Acha upotoshaji Rais kumteua kada wa Chama cha Upinzani haikuanza kwa JK hata Mkapa alimteua kada wa CUF kuwa Mbunge.
Kuhusu Wapinzani kupewa uongozi wa baadhi ya kamati ni kwa mujibu wa Mbunge ya Jumuiya ya Madola na si matakwa ya CCM. Kamati za Mashirika ya umma na serikali za mitaa zinazohusu mahesabu zinatakiwa ziongozwe na Wabunge wa Upinzani.
CCM ndio wanawaona WAPINZANI ni maadui Mfano wanatumia polisi kuwapiga marungu na mabomu, kuwamwagia maji ya kuwasha n.k na imefikia hatua wanawaua kama kuku mf. Mwangosi, Mawazo, mwenyekiti wa CDM kule Arumeru, mauaji ya Wapemba 2001, kupigwa kwa Lipumba, Josephine, Lema, SUGU, Msigwa na mengine mengi sana
 
Hakuna mwananchi anaefurahia upuuzi wanaoufanya watu waliowatuma kuwawakilisha(wabunge)

Pia kama mtu alikuwa haafiki matokeo kulikuwa na haja gani ya yeye kuingia bungeni na kula kiapo.

Unakula kiapo bungeni huku ukijua kuwa Rais wako sio halali hali kwamba ukijua kuwa yeye huyo ndie anaekuja kuhutubia na kulifungua bunge.

Kama walikuwa hawana mpango na kama walikuwa na uzalendo wa kweli kwa taifa na kama kweli sio wapo kimaslahi na ili kuonesha umma wa watanzania kuwa matokeo ya Rais yalikuwa batiri sioni haja ya wao kula kiapo.

Haitaji Elimu ya Chuo Kikuu bali ya Darasa la saba Elimu Ya Uraia darasa la tano enzi zetu kujua kwamba Bunge ni mhimili tofauti na Taasisi ya Uraisi. Mihimili iko mitatu: 1.Executive 2. Parliament 3.Judiciary

Mbali zaidi matokeo ya Ubunge na udiwani unaweza kuyapinga mahakamani. Je, Matokeo ya Urais unaweza kuyapinga mahakamani? Mliambiwa mrekebishe Katiba ili msipatwe na Aibu hii mkaziba masikio pamba. Subirieni matokeo na hicho ndicho mnachostahili
 
Wapinzani wamejipambanua kama wao ni maadui wa serikali...CCM walijitahidi katika kipindi kilichopita kuwakaribisha kundini kwa moyo mkunjufu... Raisi Kikwete....alitoa nafasi za ubunge kwa wanachama wa vyama vya upinzani....lakini angalia lugha na vijitabia vya hao watu waliopewa fursa hizo...wanaongoza kwa lugha za kejeli..... wapinzani walipewa hadi uongozi kwenye kamati za bunge... wapinzani walipewa nafasi ya kurekebisha Katiba iliyopo..... TUMEJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA SASA TUNATAMBUA NIA NA LENGO ZA WAPINZANI KUWA NI MAADUI NA SISI TUNASEMA .....THIS TIME NI VITA NI VITA!!!

Kweli mmeshaamua vita, ndiyo maana mmeshamtoa roho binadamu kule Geita...
 
Hakuna mwananchi anaefurahia upuuzi wanaoufanya watu waliowatuma kuwawakilisha(wabunge)

Pia kama mtu alikuwa haafiki matokeo kulikuwa na haja gani ya yeye kuingia bungeni na kula kiapo.

Unakula kiapo bungeni huku ukijua kuwa Rais wako sio halali hali kwamba ukijua kuwa yeye huyo ndie anaekuja kuhutubia na kulifungua bunge.

Kama walikuwa hawana mpango na kama walikuwa na uzalendo wa kweli kwa taifa na kama kweli sio wapo kimaslahi na ili kuonesha umma wa watanzania kuwa matokeo ya Rais yalikuwa batiri sioni haja ya wao kula kiapo.

Mimi nafurahia huo unaouita upuuzi
 
Jambo la msingi kabisa ni wabunge wote kujiuliza, nini faida na hasara ya ama zomeazomea au kutozomea hotuba ya rais. Wananchi wanataka kusikia zomeazomea au hotuba ya rais?

Wanachi hatuja mchagua JPM hatumtaki wamzomee tu. Kwani Wananchi wanataka kusikia hotuba ya Rais au makofi na vigelegele vya Wabunge wa CCM?
 
Iwapo sheini hata hudhuria

Magazeti yatakuwa.....
UKAWA WACHIMBA MKWARA MZITO SHEIN ANYWEA.
N.K

sasa ccm hawataki kitu kama hicho kisomeke au kusijilizwa kwenye media
 
Kwanini busara inatakiwa inahitajika linapokuja suala la watu kudai haki yao lakini busara haitumiki wala kutajwa pale haki hiyo inapodhulumiwa? Busara iko wapi kushughulikia suala la Zanzibar? Busara ilitumika wapi kusikiliza malalamiko ya ukawa wakati wa mchakato wa kupokea na kutangaza matokeo ya urais?
 
Acha upotoshaji Rais kumteua kada wa Chama cha Upinzani haikuanza kwa JK hata Mkapa alimteua kada wa CUF kuwa Mbunge.
Kuhusu Wapinzani kupewa uongozi wa baadhi ya kamati ni kwa mujibu wa Mbunge ya Jumuiya ya Madola na si matakwa ya CCM. Kamati za Mashirika ya umma na serikali za mitaa zinazohusu mahesabu zinatakiwa ziongozwe na Wabunge wa Upinzani.
CCM ndio wanawaona WAPINZANI ni maadui Mfano wanatumia polisi kuwapiga marungu na mabomu, kuwamwagia maji ya kuwasha n.k na imefikia hatua wanawaua kama kuku mf. Mwangosi, Mawazo, mwenyekiti wa CDM kule Arumeru, mauaji ya Wapemba 2001, kupigwa kwa Lipumba, Josephine, Lema, SUGU, Msigwa na mengine mengi sana

AVTAR yako inakutambulisha wewe ni mtu wa aina gani ...CHADOMO aka WAKIWA mnajulikana...MKAPA pia CCM kwa hivyo unakubali kuwa CCM haina shida na wapinzani....CHANGAMOTO KUBWA NYINYI CHADOMO bado hamjakomaa mnapelekana kama MANYUMBU.... narudia TENA mwaka huu ndio Mwisho wenu..UJINGA UJINGA hakuna ni sheria na VIFUNGU...CCM imejipanga kwa ajili yenu...kuanzia mwanasheria mkuu, speaker na naibu wake...vyombo vya dola vipo imara...hamuwezi kuvuruga amani wala kuvuruga taratibu...kwa hili hakuna msalie mtume kwa shuruti au kwa hiari serikali ya mhe MAGUFULI imejiandaa vizuri.... NENDA SASA UKANYWE MBEGE kama walivyofanya WABUNGE WAKO leo DODOMA!!
 
Back
Top Bottom